Hii ndio hatua aliyofikia Koffi Olomide?

Hii ndio hatua aliyofikia Koffi Olomide?

Wenyewe wanaita pushing the envelope and setting the trend. Muda si mrefu utakuta mastaa wengine kibao wanapiga hizi mambo.
 
hahaaa huyu Jamaa nguo zake huwa za ajabu mnoo aisee
 
Wenyewe wanasema msanii lazima ajitofautishe na watu wengine hasa kwenye muonekano. Nadhani hiyo ndio style yake
 
mbona kanzu mnavaa, nyie mnaona kawaida wazungu wanaona ni gauni
 
Back
Top Bottom