Hii ndio hatua aliyofikia Koffi Olomide?

Hii ndio hatua aliyofikia Koffi Olomide?

tena sketi yenye marinda swafiii aisee huu ujasiri sijui wanaume wa drc wanautolea wapi
 
Mopao aka Papaa Fololo anatakiwa akamatwe Ufaransa wametoa hati kwa kuwadhalilisha dancer wake kingono
 
Na mpongeza Koffi kwa kumuongezea umaarufu Cindy Le Couer, dada wa Congo Brazaville!
 
Back
Top Bottom