Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Hmm!... 🙂😱😳😵Hizo nguo zina associate na ushoga...Kanye West, Mondi, na Sasa ni Olomide wote hao wako kwenye hall of fame ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hmm!... 🙂😱😳😵Hizo nguo zina associate na ushoga...Kanye West, Mondi, na Sasa ni Olomide wote hao wako kwenye hall of fame ....
Sisi wahenga hatumshangai kwakuwa zamani miaka ya 90 alikuwa anapaka lipstick!View attachment 751690
Hivi ikitokea ukaokota begi lenye nguo za Kofi olomide,utazivalia wapi kama siyo kumrudishia tu yeye mwenyewe?
Association yake na ushoga ikoje?Hizo nguo zina associate na ushoga...Kanye West, Mondi, na Sasa ni Olomide wote hao wako kwenye hall of fame ....
Ni kipindi kipi hicho?Jamaa alikuaga MTU wa heshima sana kipndi kileeeee sijui kapatwa na nn uzeeni
Mbona watu wa Fiji wanvaa sketi,waskotish nao hivyo hivyo,huyu Kofii kaiga tu utawamduni wa watu wengine..,acha ushamba,tembea ujioneeView attachment 751690
Hivi ikitokea ukaokota begi lenye nguo za Kofi olomide,utazivalia wapi kama siyo kumrudishia tu yeye mwenyewe?
Lini alikuwaga mtu wa heshima? Na kwanini unadhani sasa hivi hana heshima? Kama ni mavazi ya tofauti hajaanza kuvaa leo, labda kama wewe umezaliwa miaka ya tisini utakuwa umeanza kumfaham miaka ya elf2.Jamaa alikuaga MTU wa heshima sana kipndi kileeeee sijui kapatwa na nn uzeeni
"Akupigae ngumi ya jicho we mpige ya sikio akikuuliza unaonaje we muulize unaskiaje...." akikujibu niTag mzee baba tih tih tihKumbe wakati nakugegeda ulikuwa unanichunguza kwa makini .Nilivyoona umefumba macho kwa sababu ya kukusugua Sana nikadhani hunioni.