Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papaa na Didi Stone,Papaa Morinou,MM,Papaa boss,Tchacho,nk.Hizo nguo ndo sanaa yenyewe,msanii lzm awe tofauti. Hata nguo za Michael Jackson alikuwa akivaa mwenyeweHuyo anaitwa Mopao Mokonzi a.k.a papa fololo!
Kawaida yake mbona, au ndiyo unamjua leo???View attachment 751690
Hivi ikitokea ukaokota begi lenye nguo za Kofi olomide,utazivalia wapi kama siyo kumrudishia tu yeye mwenyewe?
.View attachment 751690
Hivi ikitokea ukaokota begi lenye nguo za Kofi olomide,utazivalia wapi kama siyo kumrudishia tu yeye mwenyewe?
Aisee
Aisee
Papa Fololo, Agbada, The grand MopaoPapaa Mopao Nkulukunzu Mokonzi na labile Le grande Koffi Olomide acha kabisa
Hataree sanaPapa Fololo, Agbada, The grand Mopao
Aliruka stage...ila msisahau kuwa huyu ni mutu ya Congo kwahyo wao kutupia vitu vya ajabu ni kawaidaJamaa alikuaga MTU wa heshima sana kipndi kileeeee sijui kapatwa na nn uzeeni
Ana mpaka matiti!Infantry Soldier njoo ucheke huku heheheeee