Hii ndio hatua aliyofikia Koffi Olomide?

Hii ndio hatua aliyofikia Koffi Olomide?

Jamaa alikuaga MTU wa heshima sana kipndi kileeeee sijui kapatwa na nn uzeeni
Ni kipindi kipi hicho?

Kama unamjua Koffi Olomide vizuri tangu zamani hili hata halishangazi...na pia halimuondolei heshima yake.

Koffi alishafanya mengi ya utundu utundu tangu zamani kabisa...kujichubua, kupaka lipshines n.k

Hatahivyo, haya hayashangazi kufanywa na Wakongo popote walipo hata wakiwepo Bongo, S.A au Paris ndio mambo yao haya na hayawapunguzii heshima yao.
 
hilo ni vazi la kitamaduni la kiscotish au scotlands na ni la kiheshima sema na jamii nyingine zilianza kulitohoa vazi hilo huitwa KILTS
images-7.jpeg
images-7.jpeg
images-8.jpeg
 
Le grand mopao....papa plus! Katika ubora wake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
View attachment 751690

Hivi ikitokea ukaokota begi lenye nguo za Kofi olomide,utazivalia wapi kama siyo kumrudishia tu yeye mwenyewe?
Mbona watu wa Fiji wanvaa sketi,waskotish nao hivyo hivyo,huyu Kofii kaiga tu utawamduni wa watu wengine..,acha ushamba,tembea ujionee

salu.jpeg

Kushoto "SULU" vazi la fiji,
skot.jpeg

Vazi la kienyeji skotland
fiji polisi.jpg

Polisi wa Fiji
 
Jamaa alikuaga MTU wa heshima sana kipndi kileeeee sijui kapatwa na nn uzeeni
Lini alikuwaga mtu wa heshima? Na kwanini unadhani sasa hivi hana heshima? Kama ni mavazi ya tofauti hajaanza kuvaa leo, labda kama wewe umezaliwa miaka ya tisini utakuwa umeanza kumfaham miaka ya elf2.
 
Mopao has run out of ideas kabakia kubadilisha jinsia tu!
 
Kumbe wakati nakugegeda ulikuwa unanichunguza kwa makini .Nilivyoona umefumba macho kwa sababu ya kukusugua Sana nikadhani hunioni.
"Akupigae ngumi ya jicho we mpige ya sikio akikuuliza unaonaje we muulize unaskiaje...." akikujibu niTag mzee baba tih tih tih
 
Back
Top Bottom