Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

Shida wengi akili zero brain, wanaendekeza siasa kuliko kazo.

Hata Mondi life span yake haina muda mrefu.

martinmaranjamasese-20250903-0001.jpg
 
Acha na huyu nguruww mtu wangu

Tunaongelea waliokuja kabla yake
Shida ni "Hakimiliki" kwa nchi za dunia ya 3 bado sana.

Huko mambele wanachofaidi hao celebrities ni "Copyrights", ndizo zinawapa maisha.

Mtu akitoa albums zake kadhaa, zikafanya vzr sokoni basi maisha yake yote anaendelea kula "Mirabaha" tu.
 
Back
Top Bottom