Acha na huyu nguruww mtu wanguShida wengi akili zero brain, wanaendekeza siasa kuliko kazo.
Hata Mondi life span yake haina muda mrefu.
View attachment 3464120
Ndo mfumo wa maendeleo ulivyo, lazima kuwe na foundation ambayo inakuwaga na low return na upambanaji ni wa jasho na damu
Hii ni kweliNdo mfumo wa maendeleo ulivyo, lazima kuwe na foundation ambayo inakuwaga na low return na upambanaji ni wa jasho na damu
Shida ni "Hakimiliki" kwa nchi za dunia ya 3 bado sana.Acha na huyu nguruww mtu wangu
Tunaongelea waliokuja kabla yake
Hakika mwanzo mgumuNdo mfumo wa maendeleo ulivyo, lazima kuwe na foundation ambayo inakuwaga na low return na upambanaji ni wa jasho na damu
Kabisa,Hakika mwanzo mgumu