Hii ndio jezi ya Yanga SC mitandaoni na uhalisia. Tumepigwa!

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Huu uzi ukiuona huko mtandaoni unaita kwelikweli, tafuta sasa wa uhalisia, utajua hujui.

Anyway sio wa kuuzwa elfu 50, wana Yanga SC tunapigwa hapa

 
Baibui la miss buza linafunika mpaka chura jagwani
 
Tayari huko SportPesa wamekiwasha wanadai Yanga wamekiuka mkataba kwa kumuweka mdhamini mwingine kwenye jezi yao waliyoizindua juzi
 
Hivi kwenye ile Logo ya mdamini TOTAL ile rangi nyekundu hawajaikataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…