Hii ndio jezi ya Yanga SC mitandaoni na uhalisia. Tumepigwa!

Hii ndio jezi ya Yanga SC mitandaoni na uhalisia. Tumepigwa!

Tayari huko SportPesa wamekiwasha wanadai Yanga wamekiuka mkataba kwa kumuweka mdhamini mwingine kwenye jezi yao waliyoizindua juzi
Pale mjanja ndie atanufaika ila mkataba wao uko wazi sana
 
Back
Top Bottom