Hii ndio jezi ya Yanga SC mitandaoni na uhalisia. Tumepigwa!

Hii ndio jezi ya Yanga SC mitandaoni na uhalisia. Tumepigwa!

Sasa kama hauna usemi wewe umejuaje umekiukwa
tunushenkome-20230201-0001.jpg
 
Hilo ni suala wali ambalo management ya Yanga ilipaswa kujiuliza kabla ya kufikia hatua ya kutoa jezi
Nadhani walishajiuliza na kufikia maamuzi ya kutafuta mdhamini mwingine kwa mashindano ya CAF
 
Nadhani walishajiuliza na kufikia maamuzi ya kutafuta mdhamini mwingine kwa mashindano ya CAF
Walituma request kwa mfadhili mkuu (SportPesa) kupewa ruhusa ya kupata mfadhili mwingine

SportPesa hawakufurahia jambo hilo

Yanga ni kama ime force
 
Back
Top Bottom