Kateuliwa kuwa PM isihindikane vipi kuteuliwa kuwa VP ?Mwigulu ana maadili ya uongozi
Sijapinga nimeunga mkonoKateuliwa kuwa PM isihindikane vipi kuteuliwa kuwa VP ?
Sijapinga nimeunga mkonoKateuliwa kuwa PM isihindikane vipi kuteuliwa kuwa VP ?
Ukizaliwa na Ubongo uliosindikwa ni tatizo sana katika Jamii inayokuzunguka.N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia.
MWIGULU
View attachment 3656656
GWAJIMA
View attachment 3656655
JOKATE MWEGELO (Kama umri unamruhusu)
View attachment 3656654
Nawaambiaga kila siku,MWIGULU
Kingwendu atamsaidia kukopa IMF/World bank kwa akili.Apewe nafasi.Orodha bado kabisa hiyo! Sijamuona Steve Nyerere, Joti, Shilole, Harmonize, Ally Kiba, Mwijaku, Mrisho Mpoto, na wengineo wengi! Hawa jamaa wana mchango mkubwa sana ndani ya chama chetu
Orodha bado kabisa hiyo! Sijamuona Steve Nyerere, Joti, Shilole, Harmonize, Ally Kiba, Mwijaku, Mrisho Mpoto, na wengineo wengi! Hawa jamaa wana mchango mkubwa sana ndani ya chama chetu
Fungua code mkuuSomebody aliyekuwa ufaransa ndo successor wa Emma
Achana na hao, kuna Sheikh Mwaipopo.Orodha bado kabisa hiyo! Sijamuona Steve Nyerere, Joti, Shilole, Harmonize, Ally Kiba, Mwijaku, Mrisho Mpoto, na wengineo wengi! Hawa jamaa wana mchango mkubwa sana ndani ya chama chetu
Nadhani hii nchi tuna tatizo kubwa sana ambalo hata sisi huenda hatulijui. Ukiachana na ukweli kwamba hapo juu wote hawafai ila ni ajabu kwamba hadi Jokate naye anawekwa kwenye hiyo list!!!! Kwamba siku moja wa kuitwa mama aking'ata shuka huyo Jokate awe rais wa nchi hii🤭🤭N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia.
Kwavile Rais ni Mkristo, kuna uwezekano mkubwa ataweka balance kumteua Makamu wake Mksristo
MWIGULU
View attachment 3656656
GWAJIMA
View attachment 3656655
PAUL MAKONDA
View attachment 3656663
JOKATE MWEGELO
View attachment 3656654
RHIMO NYANSAHO
View attachment 3656662
Umenisikitisha mno mkuuOrodha bado kabisa hiyo! Sijamuona Steve Nyerere, Joti, Shilole, Harmonize, Ally Kiba, Mwijaku, Mrisho Mpoto, na wengineo wengi! Hawa jamaa wana mchango mkubwa sana ndani ya chama chetu
Naunga mkono hojaUkizaliwa na Ubongo uliosindikwa ni tatizo sana katika Jamii inayokuzunguka.
Kutukana wananchi ambao ni maboss zake na kuwaambia wahamie Burundi ni nidhamu ya uongozi? Shenzi kabisa.Mwigulu ana maadili ya uongozi anafaa nafasi yyte ile
Ni ngumu sana ....ana full ban kwa ile nchi kubwa... Huwezi ukawa VP Kisha una limitations za moves...Somebody aliyekuwa ufaransa ndo successor wa Emma