Hii ndio list ya candidates wanaomfaa Rais kukaimu nafasi ya Vice President, Hawana Dramas, watakwenda nae bega kwa bega

Kwahali ilivyo Taifa linaitaji watu wakucheka Cheka naendana na mawazo yako mtoa hoja wamuweke JOKATE kidoti Ili kijana kama ww ukinikuta nakula Bata la Taifa usiniletee kelele ukileta kelele unachapwa
 
Wee ovyp. Hatutaki watu wasio na elimu tena. Ndio waliotufikisha hapa. Kuanzia Kikwete na kwenda juu. Au unatishwa na Udokta?
 
Binafsi namuelewa sana Juma Aweso ni vile hajapata nafasi ya kufunguka...
Yule ni mtendaji sio wa kupaka mafuta kama baadhi ya wengine...
 
Imagine jokate aliyepiga picha na akina alikiba akiwa amevaa nusu utupu,alipanda stage za Fiesta na kufanya yake. Aiseee 😂 😂 😂 😂
 
Sijamuona Sijamuona tilatilah hapo
 
Aiseeee ila ndugu zangu watanganyika,tuvumilie tu umebakia muda mchache. Hizi dharau tunazofanyiwa eneo la siasa Dawa yake inachemka.
 
Sijaona hapo jina la Dr Kitima wa TEC na Mtume Josephat Gwajima??

Weka hao watu Mkuu kwenye hiyo list yako.
 
Hebu tujaribu Wazir Mkuu aliyefanikiwa on his own right. Siku zote twaweka mapepe tu. Hepu fuatilia viongozi wenu Wooten, kabla ya kuingia CCM na kupewa madaraka alikuwa nothing. Tumweke kijana aliyemwoa binti ya Ruto. I bet ana ushujaa can stand up to mama!
 
Kwa hiyo makamu akiwa jokate, anytime Rais yakimkuta jokate ndo our president! Raha iliyoje kuongozwa na mlimbende!
 
Orodha bado kabisa hiyo! Sijamuona Steve Nyerere, Joti, Shilole, Harmonize, Ally Kiba, Mwijaku, Mrisho Mpoto, na wengineo wengi! Hawa jamaa wana mchango mkubwa sana ndani ya chama chetu
Ila tate😀😀
 
Uchafu mtupu, hao wote haramu.

Uchaguzi huru na wa haki urudiwe tutoe matakataka wananchi wachague viongozi wanaowataka.

Nchimbi alikua ni makamu rais haramu , amejitoa sasa amejisahihisha.

Haramu wengine wote nao wanatakiwa wajitoe tuanze upya.
 
I
Uchafu mtupu, hao wote haramu.

Uchaguzi huru na wa haki urudiwe tutoe matakataka wananchi wachague viongozi wanaowataka.

Nchimbi alikua ni makamu rais haramu , amejitoa sasa amejisahihisha.

Haramu wengine wote nao wanatakiwa wajitoe tuanze upya.
Unajuaje kama ni mchongo wa kuwasahaulisha 29/10/2025 ili aingie Chadema kuvuruga solidarity yao ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…