Hii ndio list ya candidates wanaomfaa Rais kukaimu nafasi ya Vice President, Hawana Dramas, watakwenda nae bega kwa bega

Orodha bado kabisa hiyo! Sijamuona Steve Nyerere, Joti, Shilole, Harmonize, Ally Kiba, Mwijaku, Mrisho Mpoto, na wengineo wengi! Hawa jamaa wana mchango mkubwa sana ndani ya chama chetu
Hivi hawezi kumteua Abduli? Au Mchengerwa? Au Wanu? Mbona ile nafasi inazibika tu?
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kule usukumani ng'ombe jike aliyefikia umri wa kupandwa huitwa Ndogosa au Kadogosa.
 
Imagine jokate aliyepiga picha na akina alikiba akiwa amevaa nusu utupu,alipanda stage za Fiesta na kufanya yake. Aiseee ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Mbona Mwana FA anapabda stage ya fiesta, now ni Naibu waziri lol.
 
Kwa jicho la kimedani Riz one kikwete anafaa kukalia hicho kiti
 
Orodha bado kabisa hiyo! Sijamuona Steve Nyerere, Joti, Shilole, Harmonize, Ally Kiba, Mwijaku, Mrisho Mpoto, na wengineo wengi! Hawa jamaa wana mchango mkubwa sana ndani ya chama chetu
Ni vinyago vya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ