Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Ukisikiliza interview ya Z.Anto utakubali licha ya kuwa msanii ana kipaji kingine zaid jamaa anajuwa kujieleza vizur sana
 
Mwenzenu sijawahi ona msanii anayeweza jielezea kama Wema Sepetu. Yaani pamoja na mapungufu yake sijawahi choka sikiliza interview zake. Sijui alifundishwa na nani...ni anajua pangilia maneno yake na anajua kucheza na akili za watu. Sijui kwanini hajapewa kitengo Ikulu...[emoji87]
 
Ommy Dimpoz naye yuko vizuri sana kwenye kujieleza linapokuja suala la interview
 
Unakumbuka alifanyiwa interview na Clouds akaenda na mkewe, niliboreka ile siku!!

Akaenda shilawadu 🤣🤣🤣 unaweza tamani kumng’oa kwenye TV
Kama vile hayuko kwenye interview....niliona ndio siku ile, mke wake kama vile pia anamuogopa sana!...nikasikia " hiyo usijibu" [emoji23] [emoji23] ....dada wa watu akanywea!
 
Hapo kidogo umepatia ila hawa ndio hamna kitu 1.kiba na 2. young killer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…