Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
Are you crazy,nipanic kuhusu nani anajua kujieleza kwny interview,asee bhas 2fanye mond anajua zaidi mkuu.Ona umeshapanic,ficha ujinga wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you crazy,nipanic kuhusu nani anajua kujieleza kwny interview,asee bhas 2fanye mond anajua zaidi mkuu.Ona umeshapanic,ficha ujinga wako
Sijamuona mrisho mpoto na afande sele
Ameimba wimbo gani?Simuoni Idris sultan hapo.
"Its personal, its personal, its personal eyooo Ali K hapa"
Mnywa viroba yule atasema niniSijamuona konki master?
zilla swagga nyingi umarekani mpka anakeraGodzilla ni hatari japo umemsahau
sio anajifanya anajua, ni kweli anajua...
Pozi lake sio la kijanja wala nini.....Yaani huwa ana pozi sana yule kaka
Pozi lake sio la kijanja wala nini.....
Kama vile hayuko kwenye interview....niliona ndio siku ile, mke wake kama vile pia anamuogopa sana!...nikasikia " hiyo usijibu" [emoji23] [emoji23] ....dada wa watu akanywea!Unakumbuka alifanyiwa interview na Clouds akaenda na mkewe, niliboreka ile siku!!
Akaenda shilawadu 🤣🤣🤣 unaweza tamani kumng’oa kwenye TV