Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Bila kumsahau na mzee mzima TimbalandBeats za Dr. Dre, Irv Gotti na Scott Storch hazina mpinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kumsahau na mzee mzima TimbalandBeats za Dr. Dre, Irv Gotti na Scott Storch hazina mpinzani.
Acha kabisa. Hii ngoma ukitaka upate raha yake. Iwe kipindi cha msimu wa jua kali, umechill home, unapata kinywaji baridi na nyama choma hapo weekend fulani hivi ya kivivu bila stress aiseee utahisi labda umerejea miaka ya 1990's.Ngoma yangu ya muda wote 20
Acha u chekibob mzee,unahisi mimi sijui kusoma? nilichoandika nimemaanishaWanazungumzia beat siyo melody
Yeah Timbaland ni mdeadly japo mwishoni niliona anazingua na mabiti yake ya sci fiBila kumsahau na mzee mzima Timbaland
Sci fi zina watu wake wengi hawawezi kunata nazoYeah Timbaland ni mdeadly japo mwishoni niliona anazingua na mabiti yake ya sci fi
Lex Luger kagongaHuyo Lex Luger ndo kapika BMF ( blowin money fast) ya Rick Ross hatari sana
Hayo mabiti Timberlake ndio alikuwa anaimbia na kina Gwen steffani, Pussy cat dolls. Wasanii wa kizungu zungu tu yani.Sci fi zina watu wake wengi hawawezi kunata nazo
Hio beat ya Jermaine Dupri ama (JD) nae amezigonga sana 2000-2008 ndio zilikuwa zinaitwa Crunk Beats.Bow wow- Fresh azimiz[emoji91]
Wazungu wanazipenda sana hizi sci fi beatsHayo mabiti Timberlake ndio alikuwa anaimbia na kina Gwen steffani, Pussy cat dolls. Wasanii wa kizungu zungu tu yani.
So So def ilikimbiza sana miaka hiyoHio beat ya Jermaine Dupri ama (JD) nae amezigonga sana 2000-2008 ndio zilikuwa zinaitwa Crunk Beats.
Sasa umezaliwa 2004 wategemea kuujua Still?Future mask off Ni kisanga[emoji91]
Hahahah vijana wa mask off wametoka labor term ya kwanza ya jah kayaSasa umezaliwa 2004 wategemea kuujua Still?
Hata JK hakuwa Rais bali MkapaHahahah vijana wa mask off wametoka labor term ya kwanza ya jah kaya