1. DAR - ES - SALAAM
Majiji Mengine ....
2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k.
4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa watalii na matajiri wachache wenye kampuni za utalii na migodi nje ya mkoa, si kwa wananchi wa kawaida
5. DODOMA
6. TANGA
Uzuri wa jiji sio majengo tu ya mjini, ni mnyumbuiko wa mambo mengi sana kama:

- Upatakanaji na unafuu wa Vyakula
- Mzunguko wa Pesa ndani ya jiji
- Hali nzuri ya hewa.
- Huduma ya maji
- Shule na vyuo
- Ajira-wingi wa Makampuni na Viwanda
- Stendi za Mabasi
- Viwanja vya ndege
- Hospitali
- Barabara
- Hoteli na Lodges
- Timu za mpira - Ligi kuu
- Kumbi za Starehe
- Uzuri wa makazi ya watu
- Usalama
- Masoko makubwa Mall na Supermarkets