Reowned
JF-Expert Member
- May 29, 2024
- 316
- 862
Itaichukua Singida miaka 500 kufika ilipo Arusha saiv.Kuna jiji la ovyo na la ajabu kama arusha nyinyi hata kwenye uchumi Singida anawapumulia nyuma, mlishabakiza kujitapa kwenye hali ya hewa na mapori ya maonesho utadhani mnaishi kwenye mapori ya hifadhi.
Kumbuka kwenye makusanyo ya TRA ikitoka Dar ni Arusha.
Yaan tukisema kila mkoa utumie makusanyo yake mikoa kama Mwanza,mbeya,Tanga itapelekwa intensive care unit.