Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

Dar haina uzuri wowote sema ni mji mkubwa tu! Kwa hiyo watu wanalazima kukaa maana hakuna namna!
 
Kafungue kiwanda chako uwalipe mamilioni ya pesa, kwanza wa wanoajiriwa viwandani ni nyinyi wakuja, watu wa Mwanza wanawaza mambo ya uvuvi, madini, biashara na mambo ya uwekezaji wenye tija.
 
Kingine msukuma sio mkabila ni kama vile wahehe hawana undugu na mazoea kwenye kazi kama huna sifa na vigezo eti kwa vile wewe ni msukuma mwenzangu utaangukia pua.
 
Kingine msukuma sio mkabila ni kama vile wahehe hawana undugu na mazoea kwenye kazi kama huna sifa na vigezo eti kwa vile wewe ni msukuma mwenzangu utaangukia pua.
Ukabila wasukuma hawana tena ukileta ujinga wa kujuana kazi huwezi Msukuma hawezi kukubeba hii pia inasababishwa na ukubwa wa kabila jamii za watu wachache ndo zinatabia ya kujuanajuana!
 
Ukisikia bangi ndo hizi! Unaweka slums kama mwanza na mbeya juu ya Arusha halaf unaweka allegations za kijinga kabsa kusupport hizi bang zako.
Kuna jiji la ovyo na la ajabu kama arusha nyinyi hata kwenye uchumi Singida anawapumulia nyuma, mlishabakiza kujitapa kwenye hali ya hewa na mapori ya maonesho utadhani mnaishi kwenye mapori ya hifadhi.
 
Ilo jiji la Arusha sio jiji la watafuji kama unaenda kutalii hapo sawa kwa wapambanaji miji pendwa ni Dar, Mwanza na Mbeya tu kwingine utachechemea kama sio mkulima au mwajiriwa.
Ni kweli, Arusha ina matajiri wengi ambao ni wafanya biashara wenye migodi nje ya Arusha na wageni wa nchi za nje wanaofanya kazi UN.

ndani ya jiji mzunguko wa pesa ni mdogo sana
 
Ukweli mtupu watu walishakarieishwa eti Geniva ya nyoko.
 
Mbeya ni jiji la pili kwa vyuo vingi, Jiji lenye unafuu wa vyakula, Jiji linalojitahidi kwenye huduma ya maji, Jiji la pili kwa kwenye mpira, n.k.

Ni kweli Mwanza ipo mbele kwa vingi ila Mbeya si ya kuipuuza labda uwe unaangalia majengo tu
Vijana wakibongo ni ushamba na ujinga ndio wanachoringia, wanapima uzuri wa miji kwa wingi wa maghorofa.
 
Mmeanza kupigania visivyowapa faida,, ni kama mko stressed na personal life zenu mnakuja kupumzikia kubeza mikoa msiyoishi.
Deborah Paul unaweza kuweka list yako ya majiji pendwa, japo najua ulitaka Arusha iwe namba moja lakini huo mji wenu hauna fursa umejikita kwenye utalii tu na madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…