Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

Kuna jiji la ovyo na la ajabu kama arusha nyinyi hata kwenye uchumi Singida anawapumulia nyuma, mlishabakiza kujitapa kwenye hali ya hewa na mapori ya maonesho utadhani mnaishi kwenye mapori ya hifadhi.
Itaichukua Singida miaka 500 kufika ilipo Arusha saiv.
Kumbuka kwenye makusanyo ya TRA ikitoka Dar ni Arusha.
Yaan tukisema kila mkoa utumie makusanyo yake mikoa kama Mwanza,mbeya,Tanga itapelekwa intensive care unit.
 
Mnaoiponda Mbeya na kuiacha Tanga siwaelewagi kabisa kisa viazi ndoo elf 2 ndo maana mnapaona kijijini au?
 
Itaichukua Singida miaka 500 kufika ilipo Arusha saiv.
Kumbuka kwenye makusanyo ya TRA ikitoka Dar ni Arusha.
Yaan tukisema kila mkoa utumie makusanyo yake mikoa kama Mwanza,mbeya,Tanga itapelekwa intensive care unit.
Kuna indirect na direct tax ndio maana uchumi haupimwi kwa taxes, unapimwa GDP, utalii una mapato ya moja ka moja kama mngekuwa mnaongoza au uchumi unapiwa kwa mapato ya TRA mngekuwa na uchumi mkubwa kuliko Mwanza na Mbeya.
 
Baba yako angevaa kondomu tu, kuuepusha ukoo na utahira wako
 
Kuna indirect na direct tax ndio maana uchumi haupimwi kwa taxes, unapimwa GDP, utalii una mapato ya moja ka moja kama mngekuwa mnaongoza au uchumi unapiwa kwa mapato ya TRA mngekuwa na uchumi mkubwa kuliko Mwanza na Mbeya.
Hizi story nani anataka kusikia? Kikubwa mapato yote hayo yanatoka Arusha ambayo unaiita pori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…