Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

Arusha is always on the top and they know it😍
 
Hawawez elewa hapo watu wa ziwani
 
Wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ya shule 3 za English medium ndio sifa ya kuwa jiji bora. Mbona majiji hayo yalikuwepo kabla ya hizo shule. Thick critically.
 
List ni
1. Dar
2.Arusha

Hata nchi jirani kama Kenya, Uganda n.k wanapenda sana wafikie Arusha kujionea uzuri wake. Mwanza na Mbeya haijulikani.
Jengeni kwanza stend na soko acha ubishi, hivyo vitu vinawaaibisha sana na kuwaondolea status ya jiji.

Kile kistend na kile kisoko ni uchafu! halafu muache na usela wa kijinga na kuvuta bangi hovyo bila mpangilio mji utakuwa mzuri.
 
Bora hata tungeenda Kwa data rasmi, ndiyo ingekuwa vizuri...mambo ya maghorofa makubwa nayo hudanganya, maghorofa mengine yapo tupu tu hayana watu....mwenye data rasmi azimwage hapa.
 
Jengeni kwanza stend na soko acha ubishi, hivyo vitu vinawaaibisha sana na kuwaondolea status ya jiji.

Kile kistend na kile kisoko ni uchafu! halafu muache na usela wa kijinga na kuvuta bangi hovyo bila mpangilio mji utakuwa mzuri.
Kwan stend za mwanza, mpanda na sumbawanga si zimejengwa na serikali kuu ni halmashauri gani imejenga stendi kwa hela zake
Kama serikali imeona kaskazini isubiri kwanza ni wao
Bangi marekani wanavuta zaidi miji yao iondolewe hadhi ya jiji
Shida watu wa ziwani hamnaga facts mmejaa tu ubaguzi na chuki dhidi yabwatu wa kaskazini
 
Tanga na Mbeya zitoe hapo, vile ni vijiji vikubwa. Dodoma inakuja kwa kasi mno, Mwanza na Arusha wajipange.
 
Tanga na Mbeya zitoe hapo, vile ni vijiji vikubwa. Dodoma inakuja kwa kasi mno, Mwanza na Arusha wajipange.
Amna kasi wanayokuja nayo ni serekali tu inajenga majengo yake na miundombinu lakini hakuna pull factors za kukuza mji uliza watu Dodoma biashara zilivongumu
 
Amna kasi wanayokuja nayo ni serekali tu inajenga majengo yake na miundombinu lakini hakuna pull factors za kukuza mji uliza watu Dodoma biashara zilivongumu
Dodoma ni jiji linalofanya vizuri kwa ukusanyaji mapato baada ya Dar na kwa upande wa halmashauri za manispaa/jiji Dodoma inaongoza kwa ukusanyaji mapato. Unataka kusema hayo mapato yanakusanywa kwenye biashara zisizozalisha!!!??? Achana na story za kahawani, leta data hapa uumbuke.
 
seriously unataja hadi Dodoma kule kwenye vumbi na maji ya chumvi kama magadi, hhaaaa u must be kidding , pale ni kijiji kilichochangamka hamna kitu afadhali hata kwenye huo mkeka wako ungetaja Morogoro japo yenyewe bado ni manispaa.
 
Jangwani watu wanaishije? Moja ya Majiji ya hovyo hapa Tanzania ni Mwanza 😁😁
 
Pole ila faida mojawapo ya kuwa Jiji ni kupata Fedha kubwa ya Maendeleo kushinda Manispaa,Miji na Halmashauri na stahiki zinginezo.
 
Itaichukua Singida miaka 500 kufika ilipo Arusha saiv.
Kumbuka kwenye makusanyo ya TRA ikitoka Dar ni Arusha.
Yaan tukisema kila mkoa utumie makusanyo yake mikoa kama Mwanza,mbeya,Tanga itapelekwa intensive care unit.
Hapana tutaweka tozo kwenye mazao ya Kilimo ambayo Yako less taxable Kwa Sasa.

Pia tuna Utalii ambao uko neglected in favor Kwa Arusha πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TanzaniaWelcome/status/1755646168422342923?t=t0PdOXoDl3WJG0uj4eoiQQ&s=19
View: https://twitter.com/TanzaniaWelcome/status/1725769078156022121?t=xTcAOp-k8XNgEeEXt_5wDg&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…