Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

Hata kipindi cha Nyerere waliotaka vyama vingi walikuwa 20% tu ,haijalishi wanaotaka ni asilimia ngapi hata kama ni mmoja tu anataka na akawa na hoja zenye mashiko basi ana haki yake.

-Kuna mambo mengi sana ya hovyo yaliyopo kwenye katiba hii ambayo yanahitaji kuondolewa,eg kuna ulazima wa kuwa na utitiri wa RC,RAS,DAS,DC etc na kuongeza gharama kwa taifa? Rasimu ya Warioba ilikuwa nzuri maana ilikusanya maoni ya wananchi.

Upo sahihi Mkuu
 
Katiba inaumhimu wake ila si kwa kila kitu,

Mwanadamu si wa kudhibitiwa na katiba pekee, Ni nidhamu na kupenda haki ndiyo tunu kwa kila taifa

Ukitaka kufahamu kwamba katiba sio mwarobaini, Jifunze kwa vitabu vya Mungu vilivyoahidi adhabu kali kuliko katiba zote za duniani, lakini wanadamu wanazivunja kila siku amri na katiba ya maisha ya baada ya haya, sembuse katiba isiyoziba mianya yote, la mwanadamu haliwezi kuwa Perfect 💯, Mtatengeneza katiba, lakini kutapatikana tu watu watakaoona mianya ya katiba hiyo na watajinufaisha kupitia udhaifu huo, hii ni lazima,

Katiba inahitajika, ila siyo dawa ya wavunja katiba, na wala haitasababisha tuishi kama peponi, Kwani Africa nzima hakuna nchi zenye katiba nzuri na bora?

Je kwao kukoje?

Tuitafuteni katiba kwa maelewano, Wale wanaoitaka, wasiitake kwa nguvu, wale wasiopenda wasiwazuie wanaoitaka kwa nguvu

Tujadiliane kwa upendo, ingawa kwangu mimi siiwekei umhumu na kuipa matumaini makubwa mno

Tujifunze kwa katiba za vyama vyetu,

Mungu Ibariki Tanzania

Upo sahihi kabisa.
 
Robert..japo kutokana na utafiti wako imeonesha ni 20% ndio wanaotaka mabadiliko ya Katiba, lakini kumbuka mara nyingi kundi dogo kama hili ndio huwa chachu ya kuwabadili waliowengi...rejea vuguvugu la Arab spring lilivyo waondoa watawala wa Afrika Kaskazini, rejea jinsi mfumo wa vyama vingi ulivyokubalika hapa nchini!
 
Sema
 
HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA

Na, Robert Heriel
Kwanza kuna swali moja la kuuliza. Unapokuwa madarakani unaweza ukawa unakuja kwa nia njema kabisa ya kupigania haki za wananchi na sio maslahi binafsi na kulinda serikali hata kama inakosea.

Kwa maneno hayo sasa. Tujiulize, ni wangapi ambao wanaweza kuweka kipaumbele shida za wananchi na kuweza ku sacrifice hata uhai wake. Tunajua kupigania haki ni jambo linalohitaji ujasiri sana. Ili uwe kiongozi bora katika hili ni lazima pia usiwe mlafi wa pesa na uroho wa madaraka, pia unahitaji kua na mindset ya mwanafalsafa.

Kwa mfano tunawalaumu sana viongozi/wanasiasa juu ya uwajibikaji. Lakini ukweli mchungu kwa dunia ya sasa viongozi ni wafanyabiashara. Na siku zote mfanya biashara atafanya chochote hata kudiriki kudanganya wananchi ilimradi lengo lake litimie. Hawa huwa hawana uchungu na jamii wanazotoka, huwa ni waoga wa kupoteza mali na pesa kwa ajili ya kupambana dhidi ya matatizo ya nchi.

Kiongozi wa aina hii, huwa anahakikisha anacheza karata yake kwa umakini sana akiwa madarakani au nyazfa yoyote ya uongozi.
Sisi wananchi tunabaki kulia mara ooh mbona mbunge fulani anajua tuna matatizo fulani wilayani lakini haongei. Anaweza asiongee kwa sababu kwake ni rahisi kuishi vizuri aki defend serikali kuliko ku defend wananchi. So wanachofanya wanaaangalia sehemu yenye influence ya power. Kama kusifia raisi kutamfanya maisha yake yawe mazuri na salama atasifia sana hata kama ni ujinga.

Ndo maana tunasema kwa dunia ya sasa 2021 tuna wafanya biashara wengi sana kwenye nyazifa za uongozi kuliko wazalendo na viongozi wa kweli. Sifa kuu ya mfanyabiashara ni kufanya chochote kinachomwezesha kupata hela na usalama wa maisha yake sio ya wananchi.

Sasa solution ya hii mambo ni nn wakuu? South afrika imetuonesha ni kiasi gani kuna wafanya biashara wengi kuliko viongozi. Kuna swala la kujifunza hapa kama nchi.
 
Upo sahihi Kabisa.
Mabadiliko huletwa na watu wachache
M
 
Hapo amegusa kundi kubwa la vijana wa chadema!

Kenya wana katiba tunayoambiwa ni bora sana lakini ufisadi na umasikini kwa raia umekita mizizi!

Ndio kusema kwamba katiba ya Kenya ni nzuri kwa wanasiasa tu!

Katiba nzuri na huku una njaa ni sawa na unyani[emoji205][emoji205][emoji205]

Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba.
Maskini na wasio na akili ndio hawataki Katiba mpya. Akiwa tajiri ujue ni fisadi
 
Hoja imekidhi kanuni 20/80 ya Pareto uamuzi wa kuruhusu vyama vingi ulizingatia hii kanuni na Mambo mengi duniani. Katiba mpya haikwepeki muda utasema!!!!
 
Ndiyo mkuu, lakini kipengele hiko ni sehemu ya mtu kuwa na ajira!! kumbuka hilo mkuu

Mkuu kama basi hoja ni ajira basi serikali iajiri graduates wote kila mwaka wanaomaliza....hivyo vyeo ni vya hisani ambavyo ilitakiwa wawape ajira kwenye chama chao maana wanapewa ruzuku zaidi ya bilioni 1...na pia waondoe ruzuku kwenye vyama maana vyama vina source ya pesa kutoka michango ya wanachama.
 
Kwanza kuna swali moja la kuuliza. Unapokuwa madarakani unaweza ukawa unakuja kwa nia njema kabisa ya kupigania haki za wananchi na sio maslahi binafsi na kulinda serikali hata kama inakosea.

Kwa maneno hayo sasa. Tujiulize, ni wangapi ambao wanaweza kuweka kipaumbele shida za wananchi na kuweza ku sacrifice hata uhai wake. Tunajua kupigania haki ni jambo linalohitaji ujasiri sana. Ili uwe kiongozi bora katika hili ni lazima pia usiwe mlafi wa pesa na uroho wa madaraka, pia unahitaji kua na mindset ya mwanafalsafa.

Kwa mfano tunawalaumu sana viongozi/wanasiasa juu ya uwajibikaji. Lakini ukweli mchungu kwa dunia ya sasa viongozi ni wafanyabiashara. Na siku zote mfanya biashara atafanya chochote hata kudiriki kudanganya wananchi ilimradi lengo lake litimie. Hawa huwa hawana uchungu na jamii wanazotoka, huwa ni waoga wa kupoteza mali na pesa kwa ajili ya kupambana dhidi ya matatizo ya nchi.

Kiongozi wa aina hii, huwa anahakikisha anacheza karata yake kwa umakini sana akiwa madarakani au nyazfa yoyote ya uongozi.
Sisi wananchi tunabaki kulia mara ooh mbona mbunge fulani anajua tuna matatizo fulani wilayani lakini haongei. Anaweza asiongee kwa sababu kwake ni rahisi kuishi vizuri aki defend serikali kuliko ku defend wananchi. So wanachofanya wanaaangalia sehemu yenye influence ya power. Kama kusifia raisi kutamfanya maisha yake yawe mazuri na salama atasifia sana hata kama ni ujinga.

Ndo maana tunasema kwa dunia ya sasa 2021 tuna wafanya biashara wengi sana kwenye nyazifa za uongozi kuliko wazalendo na viongozi wa kweli. Sifa kuu ya mfanyabiashara ni kufanya chochote kinachomwezesha kupata hela na usalama wa maisha yake sio ya wananchi.

Sasa solution ya hii mambo ni nn wakuu? South afrika imetuonesha ni kiasi gani kuna wafanya biashara wengi kuliko viongozi. Kuna swala la kujifunza hapa kama nchi.

Maslahi hubadilika mkuu
 
Sihitaji Katiba wala nini nachotaka ni ugali mezani na kulipa ada za wanangu bila shida.
Bila shaka upo kundi fulani lililotajwa hapo juu. Mbaya zaidi si kundi la kujivunia mtu mwenye akili timamu
 
Kenya wana katiba tunayoambiwa ni bora sana lakini ufisadi na umasikini kwa raia umekita mizizi!

Ndio kusema kwamba katiba ya Kenya ni nzuri kwa wanasiasa tu!

Katiba nzuri na huku una njaa ni sawa na unyani[emoji205][emoji205][emoji205]
Ila inashangaza ukiambiwa katiba mpya unanuna. Ilitakiwa usijali mana haileti tofauti kwako ila ajabu unapinga, kitu kinacho nifanya nisiamini maneno yako. Una agenda ya siri.
 
Vijana wa umri chini ya miaka 40 ambao wanaelimu ya chini na Hali zao za kimaisha ni duni. Hawa ukiwakuta kijiweni ukileta mambo ya Katiba mpya ndio utavuruga kila kitu. Kwanza hawatachangia mada. Kundi hili mada zake ni Udaku, mpira, kisha Diamond na Allyi
Hili kundi ni rahisi Sana kulibadilisha. Unawaambia tu kwamba katiba mpya maana ni kuondoa wizi wa kura wakati wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom