Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

Hili kundi ni rahisi Sana kulibadilisha. Unawaambia tu kwamba katiba mpya maana ni kuondoa wizi wa kura wakati wa uchaguzi.
Kwanza kuna swali moja la kuuliza. Unapokuwa madarakani unaweza ukawa unakuja kwa nia njema kabisa ya kupigania haki za wananchi na sio maslahi binafsi na kulinda serikali hata kama inakosea.

Kwa maneno hayo sasa. Tujiulize, ni wangapi ambao wanaweza kuweka kipaumbele shida za wananchi na kuweza ku sacrifice hata uhai wake. Tunajua kupigania haki ni jambo linalohitaji ujasiri sana. Ili uwe kiongozi bora katika hili ni lazima pia usiwe mlafi wa pesa na uroho wa madaraka, pia unahitaji kua na mindset ya mwanafalsafa.

Kwa mfano tunawalaumu sana viongozi/wanasiasa juu ya uwajibikaji. Lakini ukweli mchungu kwa dunia ya sasa viongozi ni wafanyabiashara. Na siku zote mfanya biashara atafanya chochote hata kudiriki kudanganya wananchi ilimradi lengo lake litimie. Hawa huwa hawana uchungu na jamii wanazotoka, huwa ni waoga wa kupoteza mali na pesa kwa ajili ya kupambana dhidi ya matatizo ya nchi.

Kiongozi wa aina hii, huwa anahakikisha anacheza karata yake kwa umakini sana akiwa madarakani au nyazfa yoyote ya uongozi.
Sisi wananchi tunabaki kulia mara ooh mbona mbunge fulani anajua tuna matatizo fulani wilayani lakini haongei. Anaweza asiongee kwa sababu kwake ni rahisi kuishi vizuri aki defend serikali kuliko ku defend wananchi. So wanachofanya wanaaangalia sehemu yenye influence ya power. Kama kusifia raisi kutamfanya maisha yake yawe mazuri na salama atasifia sana hata kama ni ujinga.

Ndo maana tunasema kwa dunia ya sasa 2021 tuna wafanya biashara wengi sana kwenye nyazifa za uongozi kuliko wazalendo na viongozi wa kweli. Sifa kuu ya mfanyabiashara ni kufanya chochote kinachomwezesha kupata hela na usalama wa maisha yake sio ya wananchi.

Sasa solution ya hii mambo ni nn wakuu? South afrika imetuonesha ni kiasi gani kuna wafanya biashara wengi kuliko viongozi. Kuna swala la kujifunza hapa kama nchi.
 
Eeewaaah!! nimekuelewa vema mkuu
 
Ila sisi tunao ihitaji msitupige. Mkitupiga inaonyesha mnavyonufaika na hii iliyopo
 
Sasa solution ya hii mambo ni nn wakuu? South afrika imetuonesha ni kiasi gani kuna wafanya biashara wengi kuliko viongozi. Kuna swala la kujifunza hapa kama nchi.
Marekani wameweka sheria kali kutenganisha uongozi na maslahi binafsi ya biashara.

Tunaweza kuiga huko
 
Bila hata ya kutumia methodology yoyote, hali ipo wazi, tofauti ni kuweka katika maandishi tu.

😂

Mkuu, hapo nimesema kila mtu azingatie heshima kwa mwenzake, wanaoidai katiba waidai kwa amani na sio kwa mabavu, nao wasiotaka, basi wasiwabughudhi hao wanaodai

Mwizho wa siku tutaipata au kuikosa kwa amani kabisa
 
Marekani wameweka sheria kali kutenganisha uongozi na maslahi binafsi ya biashara.

Tunaweza kuiga huko
solution yetu nafikiri ipo kwenye mda na matukio, otherwise kwa sasa hv wananchi ni kama hamna power, mmefinywa na ikitokea kuna mtu au kundi linataka kufanya mapinduzi basi linazimishwa fasta, au wananchi wapumbavu wasioelewa kinachoendelea kwenye siasa/duniani wanatumika, na hili group la wajinga ndo group hatari sana, imagine una nchi yenye watu asilimia kubwa hawajui kinachoendelea duniani, wamefocus sana kwenye story za mpira na wasanii, hivi unategemea group kama hili wewe ukiwa kama mwana harakati lina kusaidia nn Zaidi ya kukuona kama jambazi unaetaka kupindua nchi, ujinga ni tatizo kubwa sana mkuu ambalo watu wengi hawalioni, watu wanafocus kwenye usimba na yanga, na Tanzania watu wanachukulia siasa kama sehemu ya entertainment, so usitegemee kuna mtuanaweza kua serious na kitu chochote kinachohusiana na siasa au maendelea
 
Shida ukiwauliza wana siasa wengi kwanini wanataka Katiba mpya, watasema tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi. Basi.
 
Nafikiri shida hawatwambii hiyo Katiba mpya itatuongezea nini kama wananchi wakawaida au wakulima.
Kwanza hii ya zamani bado hatujaisoma kuimaliza alafu walete mpya?
 
Shida ukiwauliza wana siasa wengi kwanini wanataka Katiba mpya, watasema tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi. Basi.
solution yetu nafikiri ipo kwenye mda na matukio, otherwise kwa sasa hv wananchi ni kama hamna power, mmefinywa na ikitokea kuna mtu au kundi linataka kufanya mapinduzi basi linazimishwa fasta, au wananchi wapumbavu wasioelewa kinachoendelea kwenye siasa/duniani wanatumika, na hili group la wajinga ndo group hatari sana, imagine una nchi yenye watu asilimia kubwa hawajui kinachoendelea duniani, wamefocus sana kwenye story za mpira na wasanii, hivi unategemea group kama hili wewe ukiwa kama mwana harakati lina kusaidia nn Zaidi ya kukuona kama jambazi unaetaka kupindua nchi, ujinga ni tatizo kubwa sana mkuu ambalo watu wengi hawalioni, watu wanafocus kwenye usimba na yanga, na Tanzania watu wanachukulia siasa kama sehemu ya entertainment, so usitegemee kuna mtuanaweza kua serious na kitu chochote kinachohusiana na siasa au maendelea
 
😂

Mkuu, hapo nimesema kila mtu azingatie heshima kwa mwenzake, wanaoidai katiba waidai kwa amani na sio kwa mabavu, nao wasiotaka, basi wasiwabughudhi hao wanaodai

Mwizho wa siku tutaipata au kuikosa kwa amani kabisa
solution yetu nafikiri ipo kwenye mda na matukio, otherwise kwa sasa hv wananchi ni kama hamna power, mmefinywa na ikitokea kuna mtu au kundi linataka kufanya mapinduzi basi linazimishwa fasta, au wananchi wapumbavu wasioelewa kinachoendelea kwenye siasa/duniani wanatumika, na hili group la wajinga ndo group hatari sana, imagine una nchi yenye watu asilimia kubwa hawajui kinachoendelea duniani, wamefocus sana kwenye story za mpira na wasanii, hivi unategemea group kama hili wewe ukiwa kama mwana harakati lina kusaidia nn Zaidi ya kukuona kama jambazi unaetaka kupindua nchi, ujinga ni tatizo kubwa sana mkuu ambalo watu wengi hawalioni, watu wanafocus kwenye usimba na yanga, na Tanzania watu wanachukulia siasa kama sehemu ya entertainment, so usitegemee kuna mtuanaweza kua serious na kitu chochote kinachohusiana na siasa au maendelea
 
Ila inashangaza ukiambiwa katiba mpya unanuna. Ilitakiwa usijali mana haileti tofauti kwako ila ajabu unapinga, kitu kinacho nifanya nisiamini maneno yako. Una agenda ya siri.
Yanini kupoteza mabilioni kwa kitu ambacho hakina maana?
 
Kenya wana katiba tunayoambiwa ni bora sana lakini ufisadi na umasikini kwa raia umekita mizizi!

Ndio kusema kwamba katiba ya Kenya ni nzuri kwa wanasiasa tu!

Katiba nzuri na huku una njaa ni sawa na unyani[emoji205][emoji205][emoji205]

Na haijafikisha hata miaka 15 unasikia sasa hivi kuna BBI kwa kifupi mara nyingi wanaoshinikiza au kupinga kwa katiba mpya ni wanasiasa ambao wengi wao huwa wanalenga kwenye kugawana madaraka mara nyingi huwa wanashughulika na Vipengere vinavyowasaidia kupata madaraka na namna watakavyogawana madaraka
 
Kabisa mkuu
 
Iko hivyo

Kumekuwapo na nyuzi mbalimbali zenye tathmini mbalimbali.

Kuna uzi ulikuwapo ukitambua kufungamana kwa wasiotaka katiba mpya na wengi wa wapinga juhudi za kupambana na Corona:

Basi kuna usahihi mkubwa (within limits) kuwafungamanisha wapinga tahadhari za Corona hawa na makundi haya haya:

Kenya wana katiba tunayoambiwa ni bora sana lakini ufisadi na umasikini kwa raia umekita mizizi!

Ndio kusema kwamba katiba ya Kenya ni nzuri kwa wanasiasa tu!

Katiba nzuri na huku una njaa ni sawa na unyani[emoji205][emoji205][emoji205]
Ufisadi ni tabia za watu tu hata South Africa wana katiba bora ila kuna ufisadi wa kutisha

Burundi, Congo, Uganda, Cameroon, wana katiba mbovu ila na ufisadi wa kutisha

Tanzania penyewe tuna ufisadi wa kutisha tu watu wamechota pesa mpaka wakina Magufuli kwa kutumia mgongo wa wanyonge!!

Ufisadi ni tabia za watu wanaoongoza sio katiba mbovu au nzuri.

Rwanda wana katiba mbovu lakini hakuna rushwa ila kuna ufisadi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…