Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

Watanzania wengi wanaishi Bora siku ziende
 
Nimewaweka wasio na Uelewa Kama wapinga mchakato wa Katiba mpya Kwa sababu wengi wao wapo upande wa serikali(CCM)
 
Nimewaweka wasio na Uelewa Kama wapinga mchakato wa Katiba mpya Kwa sababu wengi wao wapo upande wa serikali(CCM)

..nadhani hiyo assumption sio sahihi.

..kutokuelewa kuhusu katiba haimaanishi moja kwa moja ni kuipinga.

..walioko ccm wanaelewa katiba mpya ni nini na katiba ya zamani ni nini.

..mwisho, mbona hujaweka kundi lisilotaka katiba kabisa?
 
Nimeipenda hii"wasomi kuanzia stashihada mpaka uzamivu" mimi naongezea na maprofesa. Kenya wanatumia hiki kipengele ndio maana wao hawaangalii makunyanzi.
 
..nadhani hiyo assumption sio sahihi.

..kutokuelewa kuhusu katiba haimaanishi moja kwa moja ni kuipinga.

..walioko ccm wanaelewa katiba mpya ni nini na katiba ya zamani ni nini.

..mwisho, mbona hujaweka kundi lisilotaka katiba kabisa?

Hakuna kundi lisilotaka Katiba mpya kabisa wala hakuna linalotaka Katiba mpya kabisa.

Makundi yote yapo katikati, Kama nilivyosema; Watanzania wengi ni WANAFIKI.

Hivyo, kinachozingatiwa ni upepo tuu unavyovuma
 
Ndio hatikaki iyo katiba ya walioba. Tunahitaji usawa na maendeleo. hatutaki kuji🙋‍♂️tenga. Tunataka universal laws. Sheria mona na usawa
 
Elimu na umasikini hapo ni kigingi
Katiba inazaa institutions lakini institutions siyo mashine. Watu ndo wanatengeneza hizo strong institutions.

Mabadiliko ya kifikra ni ya lazima. Hayaepukiki. Huwezi kuwa na Katiba nzuri. Katiba ya ‘wananchi’, bila ya watu kuiandika, kuifuata, kuilinda, kuihifadhi, na kuitetea ni sawa na zero.

Unaweza kuwa na Katiba mpya, ambayo ni nzuri kabisa, lakini huifuati, huilindi, huitetei, na kadhalika. Hakuna Tume Huru ya Uchaguzi inayojiendesha yenyewe.

Hakuna bunge wala Mahakama zinazojiendesha zenyewe, bali ni watu. Na ukitaka mabadiliko ya kweli kwenye hizo Taasisi, basi ni lazima pia ubadilike kifikra.

Hakuna mabadiliko yoyote yale ya maana pasipo na mabadiliko ya kifikra. Mindset lazima ibadilike. Matendo nayo lazima yabadilike.

Ukibadili Katiba na ukaacha kubadili fikra, hutoenda popote. Utaishia kukwama pale pale ulipo.
 
Ndio hatikaki iyo katiba ya walioba. Tunahitaji usawa na maendeleo. hatutaki kuji🙋‍♂️tenga. Tunataka universal laws. Sheria mona na usawa
Una haraka sana!
Anyway ni Warioba na sio walioba
 
Uliyoandika ni sahihi kabisa tatizo linakuja ni kutoka kwa wale wahafidhina wanaomzunguka rais. Hao jamaa wenye viduku:

Uzi huu ulikuwa wajieleza:

Kheeeeee mpk watoto maana sometime wanakosa matundu ya choo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…