Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Maendeleo ni dhana pana ila kwa muktadha wa mjadala wetu ambapo najua unataka kujua ni vipi kujenga nyumba ya kuishi sio maendeleo, nitakujibu
Bado hujajibu maana ya maendeleo ("Development").

Kama ambavyo huwezi kumregard mtu ameendelea kwa kuwa anamudu chakula au mavazi, ndivyo ambavyo huwezi kumregard mtu huyo huyo kwa kuwa tu amejenga nyumba ya kulala.
Duh! Hivi mwenye nyumba ya ghorofa na ile ya makuti wote hawajaendelea?

Mtu aliyejenga na aliyepanga wote wana malazi tena yawezekana aliyepanga ana malazi bora kuliko aliyejenga kutegemea na hadhi ya nyumba husika.
Hayo ni mawazo yako.

Tusipangiane namna ya kuishi, kila mmoja ana vipaumbele vyake.
 
Then unaskia sera za majimbo unabaki kujiuliza hayo majimbo yangefanya maendeleo kwa mapato gani?
Taarifa km hizi ni muhimu sana watu kua nazo kabla hawajaropoka kuhadaa uma.
Hayo ni Mapato ya halmashauri kuna ya TRA hapo yataleta utofauti sana.

Ila pia tabia ya kutegemea central government kwenye miradi inapelekea uzembe kwenye hizi halmashauri Na kukosa ubunifu kabisa
 
Makambako ni kamji kadogo sana ingawa kamechangamka sana na mzunguko wa hela upo kwa wananchi wake ,ila hawana uwezo wa kufikisha 3.8b
Hicho kiwango unakaonea hako kamji yaani hata serikali imekawekea target ya 2.5bln lakini wameishia kupata 2.4 bln tuu

Ngoja wakue kue na kubuni vyanzo vya uhakika vya mapato sio maduka tuu
 
Nawaangalia tuu muda wote wanavyodemka... moshi is dying. Yaan wanashindwaga hata ficha hisia zao. Halafu logic ya uzi wake na uhalisia hata haoni lama amekinzana nao... wengine hawapendi kujengwe vijijini. Wanasahau kila mtu ana priority zake.
 
Mufindi kuko vizuri sana mkuu, sema tu marehemu alivuruga mambo mengi sana. Miti saa hizi imeshuka bei hivyo wajanja hawavuni wanasubiri bei ipande juu tena.
Hivi mpaka kesho unajua huwa nashangaa jinsi jamaa alivyokua psycho na bado walikua wanashabikia? Honestly mkoa wa Iringa wananivutiaga sana jinsi wamekua wazalendo na mkoa wao. Yaan wanapambanaga kweli. Mkoa unepangika vizuri sana. Moshi needs Restructuring maana its an old town. Ni mji wa zamani sana. Hizo boda bado zinaingiza mapato makubwa sana. Kuna kilimo lakini kwakweli ardhi ni ndogo sana. Sisi wenyewe haitoshi. Ndogo mno. Kuna utalii pia. zile bureau zilikua zinaingiza pesa kweli. Ni miaka pia kule boda za holili na tarakea sijui bado wanafanyaga ile biashara ya kubadilishana pesa?
 
Mbona una jazba sana na nyumba za watu wewe kaka. Wewe umejenga maghorofa mangapi hapo mjini? [emoji23][emoji23][emoji23] what a loss. Ndo maana hamurudigi vijijini kwenu nyie. Kila mtu ana malemgo yake. Halaf wenye hela zao na miradi yao hawanaga hasira za kijinga hivi
 
Lekana na kiasaka cho mbee
 
Sera ambazo hazikua rafiki zimeididimiza Mtwara sana. Ilikua inafikisha hata 15bn, leo iishie kupata 4.8bn, its very bad kwa kweli. Wakati Sekta ya Madini imeendelea kuruhusiwa,kule Sekta ya Gesi haikua na kitu, sawa na zao la Korosho ambalo msimu mmoja uliingiza zaidi ya Trillion 1.2, sawa na hela zote za mazao yote combined. Daaa, acha, taarifa hizi zingeendela kutolewa kila mwaka ili kila Halmashauri ijitathmini kujua wapi inakwama na sababu za kukwama kwake pengine utatuzi ungefanywa.
 
Tuleteeni manji..
Nasikia bashe wanamrudisha manji kununua mbaazi ntwala kwa anko nchumali. Yaani akimaliza hapo arudi haraka sana. Tutamrudisha ofisini mara moja kama lipumba haijalishi aliresign. Tena atake asitake[emoji23][emoji23]
Kwani wauza magodoro wameshindwa kusajili?
 
Mji umekua ukafikia uzee sidhani kama kuna jipya eti hao ndio walitaka kuwa Jiji wakati hawana pesa za kuiendesha
Kwan Moshi haipo kwenye orodha ulioweka? Unajua mkoa wa kilimanjaro Ni wa ngapi kuchangia Pato la taifa?
Unajua kuwa mkoa wa kilimanjaro Ni wa Kwanza Kitaifa kwa makazi bora vijijin ? Kilimanjaro huduma nyingi za kisasa zipo vijijin kwahyo watu hawana uhitaji wa kwenda mjini
Sii kama huko kwenu hata ka TV ukitaka kununua lazma ufunge safari mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…