Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Muleba imeizid bukoba mjini yenye bandari na viwanda na viwanja vya ndege naomba nielimishwe kidogo.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyew nashangaa.
Hadi wilaya ya misenyi yenye viwanda kama kagera sugar,kilimo cha vanilla,mpaka wa mutukula na Ranchi kibao inazidiwa na wilaya ya muleba iliyojaa migomba na kahawa
 
Unaweza kuta mengi ya mapato ya Bukoba ni yale ambayo TRA wanakusanya ,tafuta regional statistics za TRA unaweza kuta Kagera iko vizuri

Lakini kwa mapato ya mtu mmja mmja na vyanzo ambavyo Tamisemi inasimamia basi huo ndio ukweli kwamba mna pesa kiduchu hapo Manispaa uchwara ya Bukoba
Inawezekana ikawa kweli maana maisha vijijini kama muleba ni Bora kuliko hata baadhi ya maeneo ya bk mjini
 
TUNAPOPIKA DATA TUWE TUNATUMIA UBONGO SIO MAKALIO.
HIVI DODOMA INAWEZA KUIZIDI MWANZA AU ARUSHA KWA MAPATO???
 
Kigoma Ujiji Mc na Kyela dc wanakwama wapi wote wana maziwa makubwa ya uvuvi, wote wanalima mawese na mazao mengine ya kibiashara, wote pia wana advantage kubwa ya kuwa mpakani kabisa na nchi jirani, shida inakuwa wapi
 
TUNAPOPIKA DATA TUWE TUNATUMIA UBONGO SIO MAKALIO.
HIVI DODOMA INAWEZA KUIZIDI MWANZA AU ARUSHA KWA MAPATO???
Hakuna kupika data ni ukweli hata JPM aliwahi kusema Dodoma wanakusanya zaidi ikawa imepita Dar ukigawa Dar zile halmashauri ila kwa ujumla ukichukuwa Dar kama moja siku zote Dar iko juu 173 Billion Halmashauri zote za Dar ila ukianza kugawa ziko Halmashauri kama Temeke, Kindondoni wako nyuma kwa hiyo Dodoma wanakusanya na huu mwaka wa 3. Halafu upike data ili iweje na ukiangalia kweli huko Kigoma sijui Tabora ina reflect makusanyo yao.
 
TUNAPOPIKA DATA TUWE TUNATUMIA UBONGO SIO MAKALIO.
HIVI DODOMA INAWEZA KUIZIDI MWANZA AU ARUSHA KWA MAPATO???
Kwa kigezo cha pato ghafi, Mhe. Jafo alisema halmashauri zilizoongoza kwa wingi wa mapato kuwa ni Halmashauri ya Jiji la Dodoma (Sh bilioni 71.7), Ilala (Sh bilioni 58.1), Kinondoni(Sh bilioni 34) Temeke Sh bilioni 33.3), Ubungo Mc (bilioni 18.6) na Jiji la Arusha (Sh bilioni 16.4) wakati halmashauri tano zilizofanya vibaya katika kundi hili ni Nanyamba (sh milioni 258), Gairo Dc(Sh milioni 396), Kigoma Dc (Sh milioni 397.1) Buhigwe (Sh milioni 403.8) na Kakonko Dc (Sh milioni 403.8). Hii mwaka jana
 
Back
Top Bottom