Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Du Geita TC 9 bl, Mosh 5 Bl duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nili baaha. NnaulenyiYasijekuwa Utaoaji Gawiwo Awamu Ya Tano
Leo Tunaambiwa Watoaji Gawiwo Wapo Hoi
😣🙄😶😑😐☻☹😏
Angwe
Wadodo WalibahaNili baaha. Nnaulenyi
Ukiuliza unasemaje/ andika Wadodo walibaho?Wadodo Walibaha
WalibaahaWadodo Walibaha
Fula Yatonyatonya DodomaWalibaaha
Heiya ikutonyatoonya! Chifutiche mu nyumbaFula Yatonyatonya Dodoma
Agwe Kene cilonje ne chikwenyuHeiya ikutonyatoonya! Chifutiche mu nyumba
Moshi is dyingDu Geita TC 9 bl, Mosh 5 Bl duh
Katoro ipo Geita DCSijaona Katoro hapo Ushirombo au zimeingizwa Geita?
Hiyo pdf haifungukiHii pdf mbona nashindwa kupakua? Nitumie pm mkuu
Wivu unakutesa sanaMoshi inatia huruma na zile safari za kuhesabisa hamna kitu ,kimji cha kizamani kimechoka kama taulo la guest
Ingia Tamisemi au tovuti ya bunge pakua pdf yenye hotuba ya Waziri wa Tamisemi UmmyHiyo pdf haifunguki
Nimeshangaa...hata hivyo Mikoani ya Pwani ( wilaya/halmashauri nne na Dar manispaa zote) imejitahidiBagamoyo imekuwaje tena? Hakuna mkwanja kivipi yaani?
1. Utalii
2. Uvuvi/Samaki
3. Kilimo
4. Viwanda
5. Ukaribu na Dar es salaam
6. Hoteli
7. Heritage site(s) - UNICEF
What is not happening???
Kama hoja yako ni kunyumbua Halmashauri za Dar na Mwanza ambazo zote ziko mjini inawezekana but kwa maoni yangu hai make sense maana zote ziko mjini tofauti na Halmashauri za Mikoani ambazo ziko mbali mbaliNimeshindwa kuelewa
1. DSM jiji na Halmashauri zake vivyo hivyo kwa...
2. Mwanza
3. Mbeya
4. Arusha
5. Tanga
Wakati huo huo una kuta kuna mkoa una ingiza halmashauri nyingi lakini hawajauweka kama sehemu ya majumuisho ya pamoja kama ilivyo kwa mikoa au majiji tajwa hapo juu (majumuisho ya Halmashauri zote 130s billions)
1. Pwani (chalinze, mkuranga, kibaha jumla ni 14.37b)
2. Mbeya ( mbeya jiji, mbeya dc, mbozi, tunduma, Chunya etc wana zaidi 20 bilioni)
Hizi takwimu mkologeko sijui wana ficha nini??
Wekeni hapa tuone kinondoni, ilala iliyopewa ujiji, ubungo, kigamboni, temeke
Pia tuone nyamagana, ilemela, sengerema, ukerewe, misungwi etc
Arusha na wilaya zake (kitovu cha utalii)
Kilimanjaro pia na wilaya zake, wasiwe wana kunywa bia na kitimoto huku wakisukumizia na mapato ya Halmashauri kama yule Meya wa manispaa ya moshi aliye ibuliwa na takukuru
Miji yenye madini na rasilimali kama hizo ina mapato makubwa ya ndani sababu ya mirahaba inayolipwa moja kwa moja halamashauri toka kwenye hiyo migodi. Lakini hizi hela haziko kwa wananchi zipo kwa ofisi DED ambako mara nyingi zopinakuwao mismanaged sana na kuacha wananchi wao kwenye lindi la umasikini wa kutupa.Du Geita TC 9 bl, Mosh 5 Bl duh
To some extent but mwisho wa siku matumizi ya hizo pesa ni kwenye Halmashauri husika haziendi kokoteMiji yenye madini na rasilimali kama hizo ina mapato makubwa ya ndani sababu ya mirahaba inayolipwa moja kwa moja halamashauri toka kwenye hiyo migodi. Lakini hizi hela haziko kwa wananchi zipo kwa ofisi DED ambako mara nyingi zopinakuwao mismanaged sana na kuacha wananchi wao kwenye lindi la umasikini wa kutupa.
Mji wa Moshi unachangia kodi kubwa kwa mapato ya serikali kuu kuliko Geita. Na hata Mkoa wa Kilimanjaro kwa Ujumla upo kwenye top ten ya mikoa inayochangia kodi Serikali kuu.
Ni kweli na ndiko zinakofujwa na ndiyo unaona kuna watu wananunua VXR kama Geita wakati wilaya ina uhaba wa madarasa kwa 51%To some extent but mwisho wa siku matumizi ya hizo pesa ni kwenye Halmashauri husika haziendi kokote