Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Nimeshindwa kuelewa
1. DSM jiji na Halmashauri zake vivyo hivyo kwa...
2. Mwanza
3. Mbeya
4. Arusha
5. Tanga

Wakati huo huo una kuta kuna mkoa una ingiza halmashauri nyingi lakini hawajauweka kama sehemu ya majumuisho ya pamoja kama ilivyo kwa mikoa au majiji tajwa hapo juu (majumuisho ya Halmashauri zote 130s billions)

1. Pwani (chalinze, mkuranga, kibaha jumla ni 14.37b)

2. Mbeya ( mbeya jiji, mbeya dc, mbozi, tunduma, Chunya etc wana zaidi 20 bilioni)

Hizi takwimu mkologeko sijui wana ficha nini??

Wekeni hapa tuone kinondoni, ilala iliyopewa ujiji, ubungo, kigamboni, temeke

Pia tuone nyamagana, ilemela, sengerema, ukerewe, misungwi etc

Arusha na wilaya zake (kitovu cha utalii)

Kilimanjaro pia na wilaya zake, wasiwe wana kunywa bia na kitimoto huku wakisukumizia na mapato ya Halmashauri kama yule Meya wa manispaa ya moshi aliye ibuliwa na takukuru
 
Bagamoyo imekuwaje tena? Hakuna mkwanja kivipi yaani?
1. Utalii
2. Uvuvi/Samaki
3. Kilimo
4. Viwanda
5. Ukaribu na Dar es salaam
6. Hoteli
7. Heritage site(s) - UNICEF

What is not happening???
Nimeshangaa...hata hivyo Mikoani ya Pwani ( wilaya/halmashauri nne na Dar manispaa zote) imejitahidi
 
Nimeshindwa kuelewa
1. DSM jiji na Halmashauri zake vivyo hivyo kwa...
2. Mwanza
3. Mbeya
4. Arusha
5. Tanga

Wakati huo huo una kuta kuna mkoa una ingiza halmashauri nyingi lakini hawajauweka kama sehemu ya majumuisho ya pamoja kama ilivyo kwa mikoa au majiji tajwa hapo juu (majumuisho ya Halmashauri zote 130s billions)

1. Pwani (chalinze, mkuranga, kibaha jumla ni 14.37b)

2. Mbeya ( mbeya jiji, mbeya dc, mbozi, tunduma, Chunya etc wana zaidi 20 bilioni)

Hizi takwimu mkologeko sijui wana ficha nini??

Wekeni hapa tuone kinondoni, ilala iliyopewa ujiji, ubungo, kigamboni, temeke

Pia tuone nyamagana, ilemela, sengerema, ukerewe, misungwi etc

Arusha na wilaya zake (kitovu cha utalii)

Kilimanjaro pia na wilaya zake, wasiwe wana kunywa bia na kitimoto huku wakisukumizia na mapato ya Halmashauri kama yule Meya wa manispaa ya moshi aliye ibuliwa na takukuru
Kama hoja yako ni kunyumbua Halmashauri za Dar na Mwanza ambazo zote ziko mjini inawezekana but kwa maoni yangu hai make sense maana zote ziko mjini tofauti na Halmashauri za Mikoani ambazo ziko mbali mbali

Mathalani mtu anasema Mwanza Jiji na Manispaa ya Ilemela sasa manaake nini wakati ni Jiji moja,the same to Manispaa za Jiji la Dar
 
Du Geita TC 9 bl, Mosh 5 Bl duh
Miji yenye madini na rasilimali kama hizo ina mapato makubwa ya ndani sababu ya mirahaba inayolipwa moja kwa moja halamashauri toka kwenye hiyo migodi. Lakini hizi hela haziko kwa wananchi zipo kwa ofisi DED ambako mara nyingi zopinakuwao mismanaged sana na kuacha wananchi wao kwenye lindi la umasikini wa kutupa.

Mji wa Moshi unachangia kodi kubwa kwa mapato ya serikali kuu kuliko Geita. Na hata Mkoa wa Kilimanjaro kwa Ujumla upo kwenye top ten ya mikoa inayochangia kodi Serikali kuu.
 
To some extent but mwisho wa siku matumizi ya hizo pesa ni kwenye Halmashauri husika haziendi kokote
 
Ni kweli na ndiko zinakofujwa na ndiyo unaona kuna watu wananunua VXR kama Geita wakati wilaya ina uhaba wa madarasa kwa 51%

Wilaya ya Rombo peke yake inaweza kuwa na mapato makubwa kwenda serikali kuu kuliko Geita pamoja na kuwa haina madini wala rasilimali ya maana. Mpaka wa Holili na Tarakea unachangia pakubwa kutoka na cross border trade lakini kodi zake zinaenda serikali kuu moja kwa moja

Uziri wa trade kama hizi ni kuwa inainvolve wananchi wengi wa wilaya husika tofauti na wilaya zenye mgodi ambako hela wanaletewa tu kama mtu kaletewa mkate wenye siagi kwenye kisahani
 
Back
Top Bottom