Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Tanga sio wavivu bali wizi na ubadhirifu ndio chanzoSi mnasemaga tanga wavivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga sio wavivu bali wizi na ubadhirifu ndio chanzoSi mnasemaga tanga wavivu
Kwa hapa nchini national park inayoongoza kwa kuingiza hela nyingi ni Ngorongoro ikifuatiwa na Kilimanjaro. Lakini hao wananchi wanaozunguka hizo mbuga hata hawajui kama hizo mbuga zinafaida gani kwao zaidi ya kuwa harassed tu wanapoingia maeneo ya hifadhi. Kama ngorongoro hata wale wamasai wanaokaa mle ndani kila mara wanataka kuwatimua. Ni uonevu wa hali ya juuMamlaka ya serikali za mitaa ALAT ingepigia kelele hili kama walichofanya kwenye kodi ya majengo/nyumba.
Haiingii akilini usumbufu wote ule wanaopata wananchi wanaopakana na hifadhi afu pesa wakatumbue wengine huko
Nyerere aliwahi kusema aliwahi kuambiwa na meya mmoja ughaibuni kwamba bajeti ya serikali yaTanzania ni sawa na bajeti ya kufanya usafi ya huo mji mmoja tu.Jumla ya hizo hela ambazo kwetu halmashauri zote zinakusanya kwa mwaka, kwa US unakuta movie moja tu inaingiza.
Arusha DC makao makuu ni pale Sekei. Meru DC makao makuu ni Usa River pale Leganga.Kuna Meru DC na Arusha DC wapi ni makao makuu ya Arusha DC na mipaka yake?
Shida iko hivi hiyo hardware pale Kkoo inalipa kodi yake TRA, anachoambulia Ilala ni leseni ya biashara tu ambayo gharama yake ni ndogo kuliko PYE ya mtumishi wa umma wa ngazi ya chini wa Wilayani. Ndiyo maana Halmashauri hazitaweza kujitegemea unless ziwe na migodi kama Geita au Kahama.Binafsi sijashangaa Dodoma kuwepo na pia nisingeshangaa sana kuwepo top 3, kilicho nishangaza ni kukimbizana na Ilala,
Nilitarajia gap kati ya ilala na namba 2(haijalishi awe nani) liwe kubwa haswaaa kama 10bn hivi.
Mzunguko uliopo k.koo si wakitoto hata kidogo, mapato ya k.koo tuu kwa mwezi, kuna mikoa mingi tuu halmashauri zake ukiziunganisha zinakimbizwa na k.koo,
Kuna baadhi ya halmashauri hela zinazoingiza zinakimbizwa na mtaa wa Congo.
Au Halmashauri ya Bumbuli jana nimemsikia Ummy akisema imekusanya 336Mil from July 2020-March 2021, almost miezi 9.
Sasa Haya si mapato ya duka Moja la Hardware pale k.koo???
Hizi ni dharau.
Maendeleo ni dhana pana ila kwa muktadha wa mjadala wetu ambapo najua unataka kujua ni vipi kujenga nyumba ya kuishi sio maendeleo, nitakujibu...Nielimishe tafadhali, maendeleo maana yake ni nini?
Dodoma kuna kipi hasa hadi kuizidi mufindi, njombe, mwanza, kinondoni na temeke yenye bandariIfuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania.
Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5 kwenda juu.
Orodha hii imetokana na makusanyo ya ndani ya kila Halmashauri kiutoka kwenye vyanzo vya mapato vya Halmashauri ambavyo ni shughuli za kawaida za wananchi kutoka Tamisemi kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Mapato hayo ni nje ya vyanzo vinavyokusanywa na TRA na wakala zingine za.serikali.
Kama wewe ni mfanyabiashara hii itakuwa picha halisi ya uchaguzi wa sehemu ya kuwekeza.
1.Ilala MC=58.6bln
2.Dodoma CC=53.2bln
3.Kinondoni MC=44.5bln
4.Temeke MC=34.4bln
5.Arusha City=19.2bln
6.Ubungo MC=17.9bln
7.Mbeya City=13.0bln
8.Tanga City=12.8bln
9.Mwanza CC=12.2bln
10.DSM CC=11.4bln
11.Ilemela MC=10.2bln
12.Geita TC=9.2bln.
13.Morogoro MC=7.5bln
14.Kahama MC=7.12bln
15.Chalinze DC=7.1bln
16.Mkuranga DC=6.6bln
17.Kigamboni MC=6.4bln
18.Mufindi DC=6.1bln
19.Moshi MC=5.7bln
20.Iringa MC=5.62bln
21.Njombe TC=5.6bln
22.Tunduma TC=5.4bln
23.Tarime DC=5.2bln
24.Kilolo DC=5.0bln
25.Mtwara MC=4.8bln
26.Mafinga TC=4.7bln
27.Tunduru DC=4.7bln
28.Muleba DC=4.61bln
29.Kilwa DC=4.6bln
30.Geita DC=4.5bln
31.Arusha DC=4.01bln.
32.Mlimba DC=4.0bln
33.Mbozi DC=3.97bln
34.Tandahimba DC=3.92bln
35.Mbarali DC=3.9bln
36.Rungwe DC=3.89bln
37.Kilosa DC=3.8bln
37.Mbeya DC=3.8bln
38.Mbinga DC=3.65bln
39.Chato DC=3.64bln
40.Kibaha TC.3.62bln
41.Chunya DC=3.5bln
My take kuna Mikoa/Miji ni ya kuonea huruma mfano Tabora,Singida,Rukwa,Katavi,Kigoma,Simiyu na Manyara.Hii mikoa haina hata Halmashauri moja yenye mapato kwa kiwango cha kuanzia bilioni 3.5 au zaidi
Kiufupi inatoa picha ya hali mbaya ya umaskini wa kipato kwa wananchi wake.Hali kadharika Mikoa ya Dar, Mbeya,Geita na Iringa ina hali nzuri ya kimapato kwa watu wake.
Pdf ya Tamisemi hii hapa [emoji116][emoji116] unaweza kujionea mwenyewe
View attachment 1764113
Tangu lini mzee acha fix. Mufindi ni wilaya iliyopo mkoa wa iringa wkt makambako ni mji mdogo uliopo wilaya ya wanging'ombe mkoa wa njombeMakambako ipo ndani ya Mufindi
Kumbe Chunya tunakuja vizuri. Japokuwa ndiyo funga mkia ktk list tajwa.Ifuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania.
Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5 kwenda juu.
Orodha hii imetokana na makusanyo ya ndani ya kila Halmashauri kiutoka kwenye vyanzo vya mapato vya Halmashauri ambavyo ni shughuli za kawaida za wananchi kutoka Tamisemi kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Mapato hayo ni nje ya vyanzo vinavyokusanywa na TRA na wakala zingine za.serikali.
Kama wewe ni mfanyabiashara hii itakuwa picha halisi ya uchaguzi wa sehemu ya kuwekeza.
1.Ilala MC=58.6bln
2.Dodoma CC=53.2bln
3.Kinondoni MC=44.5bln
4.Temeke MC=34.4bln
5.Arusha City=19.2bln
6.Ubungo MC=17.9bln
7.Mbeya City=13.0bln
8.Tanga City=12.8bln
9.Mwanza CC=12.2bln
10.DSM CC=11.4bln
11.Ilemela MC=10.2bln
12.Geita TC=9.2bln.
13.Morogoro MC=7.5bln
14.Kahama MC=7.12bln
15.Chalinze DC=7.1bln
16.Mkuranga DC=6.6bln
17.Kigamboni MC=6.4bln
18.Mufindi DC=6.1bln
19.Moshi MC=5.7bln
20.Iringa MC=5.62bln
21.Njombe TC=5.6bln
22.Tunduma TC=5.4bln
23.Tarime DC=5.2bln
24.Kilolo DC=5.0bln
25.Mtwara MC=4.8bln
26.Mafinga TC=4.7bln
27.Tunduru DC=4.7bln
28.Muleba DC=4.61bln
29.Kilwa DC=4.6bln
30.Geita DC=4.5bln
31.Arusha DC=4.01bln.
32.Mlimba DC=4.0bln
33.Mbozi DC=3.97bln
34.Tandahimba DC=3.92bln
35.Mbarali DC=3.9bln
36.Rungwe DC=3.89bln
37.Kilosa DC=3.8bln
37.Mbeya DC=3.8bln
38.Mbinga DC=3.65bln
39.Chato DC=3.64bln
40.Kibaha TC.3.62bln
41.Chunya DC=3.5bln
My take kuna Mikoa/Miji ni ya kuonea huruma mfano Tabora,Singida,Rukwa,Katavi,Kigoma,Simiyu na Manyara.Hii mikoa haina hata Halmashauri moja yenye mapato kwa kiwango cha kuanzia bilioni 3.5 au zaidi
Kiufupi inatoa picha ya hali mbaya ya umaskini wa kipato kwa wananchi wake.Hali kadharika Mikoa ya Dar, Mbeya,Geita na Iringa ina hali nzuri ya kimapato kwa watu wake.
Pdf ya Tamisemi hii hapa [emoji116][emoji116] unaweza kujionea mwenyewe
View attachment 1764113
Zitaweza tuu kwani zote zina migodi? Kuna kilimo,misitu na biashara na ufugaji na uvuvi kuna pesa za kutosha ni suala la uwekezaji tuu.Shida iko hivi hiyo hardware pale Kkoo inalipa kodi yake TRA, anachoambulia Ilala ni leseni ya biashara tu ambayo gharama yake ni ndogo kuliko PYE ya mtumishi wa umma wa ngazi ya chini wa Wilayani. Ndiyo maana Halmashauri hazitaweza kujitegemea unless ziwe na migodi kama Geita au Kahama.
Tena wakati wa magu hali ilikuwa mbaya zaidi maana hata ushuru wa mabango ulichukuliwa na TRA. Something need to change kama kweli tunataka kupeleka hii nchi mbele
Nyamagana ndiyo Mwnza City CouncilVipi kuhusu Nyamagana,Simanjiro na Ngorongoro na Serengeti....?
Upumbavu ni hiyo namna unayoamini wewe kuwa ukienda kujenga nyumba ya kuishi kijijini kwenu utakuwa umewaridhisha ndugu na jamaa na kificha hiyo unayoita aibu wakati hakuna namna umeinua hali zao za maisha.
Ndugu na jamaa zako wanashindia mlo mmoja, wamejaa viraka, elimu duni, hawana shughuli za kuwapatia kipato nk nk then we la maana unaloona ni kujenga nyumba nzuri kisha walale humo na njaa na viraka vyao
Kumbe we si mfuatiliaji, ni toka 2018 Dodoma is high. Kuna kipindi ilishaongoza katika miji yote.TUNAPOPIKA DATA TUWE TUNATUMIA UBONGO SIO MAKALIO.
HIVI DODOMA INAWEZA KUIZIDI MWANZA AU ARUSHA KWA MAPATO???
Wajameni tusiishi kwa kukariri, miaka 5 ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali umezalisha na kuvutia fursa nyingi za biashara, ujenzi, huduma na viwandaDodoma kuna kipi hasa hadi kuizidi mufindi, njombe, mwanza, kinondoni na temeke yenye bandari
Ndio muwafichue sasa maana pesa inayoliwa ni yako na yangu japo mnufaika wa kwanza utakuwa wewe uliopo Eneo husika.Tanzania imekua shamba la bibi ndio maana baadhi ya viongozi wasio waadilifu wanaibatu hawaogopi.
Wengine wanawaziba midomo takukuru na macho yanatupiwa mchanga kabisa.
Ukianhalia halmashauri kama Tanga, Arusha Mbeya,Mwanza nk eti zimepitwa na Dodoma. Tatizo ni wizi. Hapo Dodoma wapo katibu na macho ya wakubwa ndio maana. Utaona kadri muda unavyoenda nao watashuka. Tanga kuna maeneo ya taasisi yamekodishwa kwa wafanya biashara lakini taasisi hizo hazipati hata mia moja na wawekezaji wanapeleka kwa mabosi. Viwanda vimefungwa wajasiriamali kama mama lishe hawauzi na kulipa kodi tena,wizi mtupu na madiwani na mbunge wamemuachia mkurugenzi halmashauri. Takukuru tanga hawajawahi kuonekana wakitetea maslahi ya uma kama ilivyo kwa mikoa mingine. Wanaungana na wezi na kuwahakikishia ulinzi. Halmashauri nyingine hasa majiji yaliyopitwa na Dodoma viongozi wake wasaidiwe
Waziri wa uwekezaji,fedha,viwanda na biashara saidia tanga huyo wa Tamisemi akifika tanga anakaa meza moja na hao wabadhirifu.
Ukiondoaa Mwanza city ambapo wameiingiza ilemela humo ebu tutajie sehemu nyingine ?Zaidi ya Tanga mjini huko kwingine si njaa kali
Mbona hauweleki?Tanga sidhan kama inawashinda watu wa kigoma kwa kipato mana maisha yatanga yanajulikana takwim zako jua ni za TRA so tanga Kuna viwanda vingi
Ilemela ni Municipal inajitegemea. Mwanza City ndio NyamaganaUkiondoaa Mwanza city ambapo wameiingiza ilemela humo ebu tutajie sehemu nyingine ?