Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tena wakikupiga risasi hapo wamekuhurumia, wengi huwa wanachomwa moto wakiwa haiKilichobaki ni kuchoma mkaa tu na kuuza hakuna Ajira nyingine maliasili wakikudaka wanakupiga risasi unakufa
Ndio hivyo acha tuchome mkaa tu mkaa unalipa sana mtaaniTena wakikupiga risasi hapo wamekuhurumia, wengi huwa wanachomwa moto wakiwa hai
Nope sio Afrika... Duniani na akili finyu za Binadamu
Tunahangaika na Mazingira / Ukame kwa kukosa miti, deforestation n.k. Yet bado tunakata miti na kutumia mkaa...
Shitting where we are eating..., so to speak....
Kwann serikali yetu iko kimya misitu inateketea.fika handen na kilhnd utaliaNope sio Afrika... Duniani na akili finyu za Binadamu
Tunahangaika na Mazingira / Ukame kwa kukosa miti, deforestation n.k. Yet bado tunakata miti na kutumia mkaa...
Shitting where we are eating..., so to speak....
Ni Kosa la Serikali kwa Nchi yenye vyanzo lukuki kwanini isifanye nishati bei rahisi ili kila mtu apikie umeme (ingawa sio wote waharibifu ni kwa ajili ya nishati)Kwann serikali yetu iko kimya misitu inateketea.fika handen na kilhnd utalia
karne ya 19 right?Hii picha inaongea mengi kuhusu Africa.
Ina maana zaidi ya mia moja.
Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.
View attachment 2767847
Vijana mmeshaambiwa mjiajiri kimya gani unakizungumzia?Kwann serikali yetu iko kimya misitu inateketea.fika handen na kilhnd utalia
Miti ipo wapiKilichobaki ni kuchoma mkaa tu na kuuza hakuna Ajira nyingine maliasili wakikudaka wanakupiga risasi unakufa
Tuwakatae CCM kwa nguvu zetu zoteHii picha inaongea mengi kuhusu Africa.
Ina maana zaidi ya mia moja.
Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.
View attachment 2767847