Hii ndio picha yangu ya karne

Hii ndio picha yangu ya karne

Hii picha inaongea mengi kuhusu Africa.

Ina maana zaidi ya mia moja.

Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.

View attachment 2767847
Angalia picha ambazo hunipa
tumaini jipya kuhusu Africa.👇

08_KOPP246437-768x512.jpg

Hiki ni kilimo Cha future.
No greenhouse no irrigation
No fertilizer no trecta non of bullshits you ever known.

Inaitwa syntropic farming
Hapa kilimo Cha umwagiliaji bila maji.
Migomba hutumika kama matenki ya maji ( Kwa kuitandaza shambani) , Mikaratusi hutumika kama mbolea.

IMG_3576-768x768.jpg

Mavuno ni miezi miwili baada ya kupanda na forever unavuna
Mazingira ya mkulima ni rafiki Sababu kivuli ni Cha kutosha.
Gharama kubwa huwa ni mwanzo kwani inahitaji mbegu aina nyingi na idadi kubwa na vyote unapanda mara Moja na kuvuna forever.
Elimu ya kujua mimea ni lazima pia.
Panda mimea yote kuanzia na inayotambaa(tembele,viazi)vichaka ( mbaazi) matunda, mbao(Mikaratusi/eucalyptus)mwavuli(Nazi)penda kivuli (ndizi,kahawa,) biashara (korosho)
Vyote Kwa pamoja wewe ni kuvuna mpaka wajukuu.
Jembe halitumiki sana au Kwa nadra ,
Hapa panga TU linatosha au chainsaw na mashine ya kufyeka,kama una hekari nyingi.
Hiki ni kilimo Cha kuona mbali miaka 20 mbele ( mbao,mkaa n.k )unavuna TU.
IMG_3576-768x768.jpg

Kanuni zake:
1. Panda Kwa mistari
2. Mistari ielekee North to South
3. Funika ardhi muda wote kama hakuna zao basi nyasi/mulch/majani
Ardhi wazi ni kama kidonda
4. Lima udongo SI Mazao.
Ardhi Bora Mazao Bora
6. Kuna mimea mingi inavyowezekana
7. Pruni miti na mimea baadhi ni kuongeza speed ya ukuzaji wa mimea jirani
8. Hakuna mbolea kutoka nnje ya shamba
9. Migomba na Mikaratusi ni King na Queen,visikose shambani.
10. Usiwe mtumwa wa Shamba

Mwanzilishi Ernst Gotsch ni mswiss anayefanya kilimo hiki Brazil baada ya kupewa heka kama 300 za jangwa na kuzibadilisha kuwa sehemu ambayo the cocoa duniani inatoka bila mbolea ya chumvi au dawa ya wadudu.
Hiki ni techniques ni Bado mpya hata Europe ndio kwanza inangia ila Kenya Kuna wakulima wameanza na hata wa5 hawafiki.
 
Nope sio Afrika... Duniani na akili finyu za Binadamu

Tunahangaika na Mazingira / Ukame kwa kukosa miti, deforestation n.k. Yet bado tunakata miti na kutumia mkaa...

Shitting where we are eating..., so to speak....
Nani atakubali kufa na njaa alinde mazingira?.
 
mkuu ulishawahi kula wali wa jiko la mkaa lakini
 
Kiuhalisia ni ngumu sana mtu mwenye shida ya chakula, matibabu na mavazi amsikilize kiongozi ambae ana kula anachotaka, ana bima kubwa ya afya na anashinda kwenye ac na V8 eti "usichome mkaa unaharibu mazingira "

Mkaa utachomwa saana
Miti itakatwa saaana
Kizazi kijacho kitatatua changamoto zake chenyewe..

Baba Nla
 
Serikali zenyewe za Afrika ndio hizo gas gharama watu watafanyaje sasa wasipotumia mkaa na kuni kama nishati??
Unajua katika wanaoharibu Mazingira Afrika wana ahueni ?

Top 10 polluters
  • China, with more than 10,065 million tons of CO2 released.
  • United States, with 5,416 million tons of CO2.
  • India, with 2,654 million tons of CO2.
  • Russia, with 1,711 million tons of CO2.
  • Japan, 1,162 million tons of CO2.
  • Germany, 759 million tons of CO2.
  • Iran, 720 million tons of CO2.

Hapo hakuna hata nchi moja ya Afrika

Nani atakubali kufa na njaa alinde mazingira?.
Kwa mtizamo huu ni kama kuwekea plaster mguu wenye cancer unaohitaji kukatwa..., Kwa muendelezo wa kufanya hivyo ni kwamba njaa zaidi itawakumba kesho..., Lakini iwapo Serikali yao ingekuwa na Sera Bora za kuwaletea Nishati safi na ya gharama nafuu (jambo ambalo wanaweza) na kuwapa Elimu..., Kitu ambacho hata mababu zetu walifanya, be it uwongo lakini it served the purpose (waliamini misitu / miti ni mizimu ya Mababu hence waliilinda) na waliweza kuishi sustainably...

So tunaojifanya much know we are killing ourselves slowly....
 
mkuu ulishawahi kula wali wa jiko la mkaa lakini
Watu wanaotumia drugs watakwambia kwamba ile fix ni out of this world..., yaani raha isiyo kifani (lakini hatushauri watu watumie)

By the way mkaa wote sio lazima uwe product of deforestation unaweza ukatengeneza mikaa kwa kutumia waste materials na mkaa ukibaki kwenye issue za BBQ, Mishikaki, Kuchoma mahindi n.k. hayo matumizi ni sustainable na sio kutumia mkaa kuchemshia maharage au maji ya kunywa jambo ambalo umeme na jug kettle ungefanya efficiently (kama serikali ingekuwa na akili ya kumaliza Bwawa haraka na kuwasambazia watu umeme wa bei sawa na bure)
 
kama ni mtiani mtani umekosa..by the way nafikiri miti ipandwe kwa wingi tena miti ya asili zaidi
 
Back
Top Bottom