Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Debe la mkaa au gunia?Uwezo wa kununua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Debe la mkaa au gunia?Uwezo wa kununua
ChakulaDebe la mkaa au gunia?
Atapikia nini Gesi?Chakula
Gesi ni rahisi kuliko mkaaAtapikia nini Gesi?
Taja Bei ya mtungi mdogo wa GesiGesi ni rahisi kuliko mkaa
Angalia picha ambazo hunipaHii picha inaongea mengi kuhusu Africa.
Ina maana zaidi ya mia moja.
Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.
View attachment 2767847
Mkaa baba hapo umegusa penyewe mkaa kwanzambao,mkaa n.k
Nani atakubali kufa na njaa alinde mazingira?.Nope sio Afrika... Duniani na akili finyu za Binadamu
Tunahangaika na Mazingira / Ukame kwa kukosa miti, deforestation n.k. Yet bado tunakata miti na kutumia mkaa...
Shitting where we are eating..., so to speak....
mkuu ulishawahi kula wali wa jiko la mkaa lakiniNope sio Afrika... Duniani na akili finyu za Binadamu
Tunahangaika na Mazingira / Ukame kwa kukosa miti, deforestation n.k. Yet bado tunakata miti na kutumia mkaa...
Shitting where we are eating..., so to speak....
22000Taja Bei ya mtungi mdogo wa Gesi
Unajua katika wanaoharibu Mazingira Afrika wana ahueni ?Serikali zenyewe za Afrika ndio hizo gas gharama watu watafanyaje sasa wasipotumia mkaa na kuni kama nishati??
Kwa mtizamo huu ni kama kuwekea plaster mguu wenye cancer unaohitaji kukatwa..., Kwa muendelezo wa kufanya hivyo ni kwamba njaa zaidi itawakumba kesho..., Lakini iwapo Serikali yao ingekuwa na Sera Bora za kuwaletea Nishati safi na ya gharama nafuu (jambo ambalo wanaweza) na kuwapa Elimu..., Kitu ambacho hata mababu zetu walifanya, be it uwongo lakini it served the purpose (waliamini misitu / miti ni mizimu ya Mababu hence waliilinda) na waliweza kuishi sustainably...Nani atakubali kufa na njaa alinde mazingira?.
Watu wanaotumia drugs watakwambia kwamba ile fix ni out of this world..., yaani raha isiyo kifani (lakini hatushauri watu watumie)mkuu ulishawahi kula wali wa jiko la mkaa lakini
kama ni mtiani mtani umekosa..by the way nafikiri miti ipandwe kwa wingi tena miti ya asili zaidiWatu wanaotumia drugs watakwambia kwamba ile fix ni out of this world..., yaani raha isiyo kifani (lakini hatushauri watu watumie)
By the way mkaa wote sio lazima uwe product of deforestation unaweza ukatengeneza mikaa kwa kutumia waste materials na mkaa ukibaki kwenye issue za BBQ, Mishikaki, Kuchoma mahindi n.k. hayo matumizi ni sustainable na sio kutumia mkaa kuchemshia maharage au maji ya kunywa jambo ambalo umeme na jug kettle ungefanya efficiently (kama serikali ingekuwa na akili ya kumaliza Bwawa haraka na kuwasambazia watu umeme wa bei sawa na bure)