bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Sema kuharibu mazingira kuna lipaMkaa unalipa kuna Jamaa darasa la 7 anashusha bangaloo kwa biashara hio anamiliki vilikuu kadhaa na mabaja kwa ajili ya kusambaza mkaa tu, vijana tujiajiri kuchoma mkaa hakuhitaji uende VETA