Hii ndio sababu inayofanya Tanzania kutokuwa na maprogrammer wengi?

Unataka mtu aandike program from scratch una pesa za kumlipa? Wateja wenyewe mnakuja mnalialia mnataka website kwa laki 5. Nakuchapa li-template tu fasta.
kabisa mkuu,unampa chake fasta ,atembee. hahahah
 
kama mtu anasomea kitu flani kwa kuwaza kimpe ela tu 😂 amn passion wala hobby apo lazima iwe ngumu, ni rahisi mtu kufanikiwa kwa kusoma kitu anachopenda zaidi coz at kuwa ana enjoy kukifanya.
ndio maana hatufanikiwa ,maaan tunawaza kitupe hela kwanza 😂
 
Computer science ni too general na haikufanyi uwe good programmer ila inakupa foundation , watu wengi wanamaliza Computer science degree in US lakini vitu vingi hawajui pia, wanaenda boot camps kusoma programming au coding ili waje Kuwa web/IOS/Android developers etc Kuna languages nyingi sana kwenye computer science ambazo ndio zinadeliver final product in real world, hizo languages hufundishwi in college, huwezi kumaliza shule Leo then ukawa chip designer mzuri, tatizo la bongo hatuna kampuni za kuajiri vijana wakapata uzoefu na wakajifunza real programming in real World mpaka wakatoa real product, huwezi kutoka shule Leo ukafikiri utaweza design site kama ya Uber au powerful chip, hayo mambo ni team work na yanaweza kuchukua 100s of Engineers kumaliza project, lazima ufanye kazi Kwa bidii na watu wenye experience and resources ili ujifunze process yote, hata kama una degree hakuna short cut lazima ufanye kazi Kwa bidii ili uwe Engineer mzuri
 
Ndugu zangu mkosawa kabisa ila nafikili Mimi niongezee hapo japo nitakua tofauti kidogo

kwanza Mimi naamini kamwe ukiingia kwenye tasnia yoyote Ile na ukawa umefata tuu mkumbo kwa kusikia coz hii Ina pesa
basi hamna chochote kikubwa unaweza kukitoa utaishia kufanya vitu vya kawaida na pengine chini ya kiwango (kitu ambacho kinatokea kwasasa katika tasinia yetu ya tehama)

Msinielewe vibaya nikweli Kila mtu anaingia akilenga kupata faida ila tehama na sehemu nyeti kama programming kama hutoipenda tech kwanza na ukaanza kwa kuipenda pesa ukweli nikwamba hautakua na maajabu yoyote tena ni Bora utafute mambo mengine ya kufanya maana utakua umepoteza kabisa Ile hali ya ubunifu.

Kingine inawezekana tuna mifumo mibovu ya elimu ila nafikili Sio mibaya kiasi hicho.
Hapa nafikiri jamii ya watu wa tech ni wabinafsi sana hawana ushilikiano yaani sijawai kusikia nchi hii Kuna jamii ya programers ambayo inafanya vitu hai yaani Kila mtu anafanya mwenyewe akiamini anaweza Kila kitu Bilakushirikisha mawazo kutoka nje (kitu ambacho nikibaya zaidi kuliko hata mfumo wenyewe wa elimu ).

sometimes nasemaga huenda ugumu ulipo kwenye hii tasnia unasababishwa na sisi wenyewe coz watu wanafkiri kibinafsi sana.

Mtu unamkuta anamawazo ya kufanya project kubwa kama gpt4 na aikamilishe mwenyewe bila kushirikisha mtu yeyote akifikili atakua shujaa wa taifa na pengine kutangazwa kwenye media na atambulike kama king wa tech tanzania (kitu ambacho ni ndoto za mchana ).

Ni aibu sana nchi hii ndio watu tunajivunia kuongea lugha ya kiswahili kwa wingi na tuna waalimu wa programming na wataalamu wenye makaratasi(vyeti). eti tumeshindwa kuunda hata model moja inayoweza kuzungumza kiswahili kama sisi waswahili zote zilizopo ukizisikia unaweza fikili ni mzungu anaye lazimishwa kuongea maneno ya kiswahili.
 
Ujumbe mzito unao eleweka umeutoa
Nimechukua point kadhaa
Ikiwemo ubinafsi
Na kale ka hali kwamba anajifanya anajua kuliko mimi au khaa yule bado sana

Yaan hatupendani hata kimawazo

Mtu atakwambia kama wewe ni programmer kalete project au weka link

Ili akupime yaani hii hata kama ni sahihi ila haija kaa poa ni kudumaza wengine kuja na mawazo yao ya ki TEHAMA hata kama ni madogo

Tuache ujuaji mwingi na vihele hele
Tupendane
Yaan Naskia HASIRA sana tupo nyuma sana TZ
 
Unawezekana una hoja, lakini haikisi hali halisi!
Na pengine ni kutojua taaluma za watu wengine ukafuata mkumbo tu Wana mtandao wengi wanaojifanya wanajua kumbe hawajuia kitu.

Hicho unachoita "kuanza from scratch" sio approach sahihi ya kufanya mambo kwenye ulimwengu wa Leo!

Nadhani Kila siku unasikia Russia wananua China, Korea chips za kutengenezea vifaa mbalimbali! Sio kwamba hawana uwezo wa kutengeneza, hapana Kila mtu anajikita kwenye eneo lake alilo strong vitu vingine una source from suppliers!

Hata Toyota vifaa vingi na technologies nyingi Wana source tu!

Kenya, Uganda Wana viwanda vya magari unadhani wananunua makaa ya mawe na iron ore ili kufinyanga chuma? Hapana hata cable za umeme hawazalishi wenyewe!

Hivyo hivyo ndio kinachotokea kwenye hicho kinachoitwa programming!

Kama ulikuwa hujui ku-customize code ni ngumu kuliko kuanza from scratch!

Why invent the wheel when you can make it run?
 
Umetoa mashiko
Nimependa jinsi ulivyo pambanua kwa ustadi.
je wewe binafsi unampa mwongozo gani yule anaye tamani kujifunza programming saiz hajui chochote ikiwa taaluma hii kwenye mifumo rasmi miongozo yake haijapewa kipaumbele???
 
Kama unafurahia kazi utaiweza tu, lakini kama wewe unafanya Ili upate pesa kwanza halafu ndo upende kazi basi utalia mapema tena achana na kitu kiitwacho "hot passion" of the day, utaumia...kabla hujachukua mkondo Fulani wa taaluma jiulize je hichi ndicho ninachokipenda?, jitathimini Kwa makini kabisa hivyo basi si lazima aliyesoma PCM awe injinia au mtaalamu wa kompyuta au ECA awe muhasibu nk..

Kuna watu waliosoma PCM, PCB , HKL na Leo hii ni wanasheria au wahasibu wazuri tu, ni kwasababu pressure ya nje ndo ilifanya akachukua mkondo Fulani Sasa anakuja kujua kumbe Mimi licha ya A's za fizikia Bado sidhan kama nitakuwa mtaalamu bingwa wa kompyuta...hivyo watu wanakuja kuwa incompetent kwenye field zao kwasababu hawapendi kile wanachokifanya, hufanya ilimradi wapate pesa coz field yake inalipa sana, lazima ulie so Kuna watu wanapenda kompyuta na wako vizuri tu.

NB. Mzazi ndoto hutengenezwa hivyo mtengenezee mwanao ndoto yake, mtoto akifuatacho ni kile anachoona mbele yake.
 
Mimi nimesoma Computer Science na moja ya kitu nkichogundua, Programming inabidi ianze kufundishwa toka Primary japo basics. Itasaidia sana.
 
Wakuu Habari zenu?

Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao ni mwendo wa nipe wiki mbili tunamaliza faster kumbe anaangaika na kumodify code za watu.

Sababu kubwa nilioiona ni kwamba mfano mtu wa computer science wengi wao, computer wamekuja kumiliki na kuanza kujifunzia chuoni mwaka wa kwanza semester ya 2, sasa hapo baadhi ya vitu anashindwa kuvicover kwa wakati , ndio maana watu hao wanaojiita maprogrammer hapa bongo watu wanasema hakuna watu kama hao, na ili uwe programmer , ongezea miaka mingine 7 huko baada ya kumaliza, Sasa hautaweza maana unatakiwa huwe na familia ,na ujitegemee utasoma saa ngapi? Utatafuta hela saa ngapi?

Lakini ungekuwa tayari kuanzia o’level pale nakuendelea hata primary huku tu,kwamba tayari wewe computer unaijua vizuri Hapo ingekuwa rahisi sana kwa wewe kuandika code,sio mpaka uende wakakufundishe chuo pale kuanzia kila kitu,

Na kama ulianza kuifatilia computer mpaka chuo unakuwa bora tofauti na mtu ambae amekuja kusoma chuo kuna mawili anaweka kuendelea na code au akakimbia maana ni mtu alikwa ajui chochote.ingawa nchi ilimwamini huyu anaweza kuwa programmer wa baadae.

Kwenye kuchagua chuo wanaona kama umefaulu vizuri PCM yako unaweza kusoma tu computer science,lakini na wewe pia unakuwa haujui utaenda kufanya nini kule , unamaliza chuo unaanza kulaumu watu na wakati ulichagua mwenyewe, haujalazimshwa maana mnadanganyana kwamba inaela sana hii course.

Naonaga sana kwa baadhi ya taharuma mfano sheria, mwalimu wa sheria anakiofisi chake chakusaidia watu kwenye sheria lakini hawa walimu wa programming mbona hata kuwasikia wanamiliki app pale app store ya kuandika dalili za magojwa halafu iseme unaumwa ugojwa gani wanashindwa.wanabaki wanatuongepea darasani,hahah.

Watu wanaoenda kusomea programming mara nyingi hawana passion nayo ila wanafata mkumbo ,huku kuna hela mwisho wa siku anashindwa kukomaa maana hela alizoambiwa hazioni mpaka ubuni cha kwako au uaminike maana sio kama course nyingine wengine wakitoka tu chuo wao wanaweza kufanya kazi, wewe sasa programmer ufungue daftari tena wakati ulimaliza , maana likizo ukirudi nyumbani wewe unakaa haupractice chochote kwenye code.

Sijajua nini kifanyike kuinusuru hii course. Ni hayo tu wakuu.
Tatizo siyo Elimu ya TZ bali inatokana na wazungu kuwa wachoyo wa elimu walipoamua kubadilisha mfumo wa elimu ya computer kuwa 4G hapo ndio elimu ya computer programming ilibadilika copying ya codes ikawa ni kawaida. Hivyo usilaumu Elimu ya TZ bali ni mfumo wa dunia. Ila sisi tulisoma Cuba na Urussi tunaendelea kutesa tu duniani.
 
Wakuu Habari zenu?

Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao ni mwendo wa nipe wiki mbili tunamaliza faster kumbe anaangaika na kumodify code za watu.

Sababu kubwa nilioiona ni kwamba mfano mtu wa computer science wengi wao, computer wamekuja kumiliki na kuanza kujifunzia chuoni mwaka wa kwanza semester ya 2, sasa hapo baadhi ya vitu anashindwa kuvicover kwa wakati , ndio maana watu hao wanaojiita maprogrammer hapa bongo watu wanasema hakuna watu kama hao, na ili uwe programmer , ongezea miaka mingine 7 huko baada ya kumaliza, Sasa hautaweza maana unatakiwa huwe na familia ,na ujitegemee utasoma saa ngapi? Utatafuta hela saa ngapi?

Lakini ungekuwa tayari kuanzia o’level pale nakuendelea hata primary huku tu,kwamba tayari wewe computer unaijua vizuri Hapo ingekuwa rahisi sana kwa wewe kuandika code,sio mpaka uende wakakufundishe chuo pale kuanzia kila kitu,

Na kama ulianza kuifatilia computer mpaka chuo unakuwa bora tofauti na mtu ambae amekuja kusoma chuo kuna mawili anaweka kuendelea na code au akakimbia maana ni mtu alikwa ajui chochote.ingawa nchi ilimwamini huyu anaweza kuwa programmer wa baadae.

Kwenye kuchagua chuo wanaona kama umefaulu vizuri PCM yako unaweza kusoma tu computer science,lakini na wewe pia unakuwa haujui utaenda kufanya nini kule , unamaliza chuo unaanza kulaumu watu na wakati ulichagua mwenyewe, haujalazimshwa maana mnadanganyana kwamba inaela sana hii course.

Naonaga sana kwa baadhi ya taharuma mfano sheria, mwalimu wa sheria anakiofisi chake chakusaidia watu kwenye sheria lakini hawa walimu wa programming mbona hata kuwasikia wanamiliki app pale app store ya kuandika dalili za magojwa halafu iseme unaumwa ugojwa gani wanashindwa.wanabaki wanatuongepea darasani,hahah.

Watu wanaoenda kusomea programming mara nyingi hawana passion nayo ila wanafata mkumbo ,huku kuna hela mwisho wa siku anashindwa kukomaa maana hela alizoambiwa hazioni mpaka ubuni cha kwako au uaminike maana sio kama course nyingine wengine wakitoka tu chuo wao wanaweza kufanya kazi, wewe sasa programmer ufungue daftari tena wakati ulimaliza , maana likizo ukirudi nyumbani wewe unakaa haupractice chochote kwenye code.

Sijajua nini kifanyike kuinusuru hii course. Ni hayo tu wakuu.
Tunaheshimu maoni yako japo umetuponda tu bila kushauri.
 
Mimi nimesoma Computer Science na moja ya kitu nkichogundua, Programming inabidi ianze kufundishwa toka Primary japo basics. Itasaidia sana.
Wala huhitaji kujifunza toka Primary. Programming ni kitu kidogo sana. Designer wa system ndio aliyenakazi kubwa kuliko programmer
 
Kitu kidogo huleta matokeo madogo. Programming ni uwanja mpana.
 
Computer science ni too general na haikufanyi uwe good programmer ila inakupa foundation , watu wengi wanamaliza Computer science degree in US lakini vitu vingi hawajui pia, wanaenda boot camps kusoma programming au coding ili waje Kuwa web/IOS/Android developers etc Kuna languages nyingi sana kwenye computer science ambazo ndio zinadeliver final product in real world, hizo languages hufundishwi in college, huwezi kumaliza shule Leo then ukawa chip designer mzuri, tatizo la bongo hatuna kampuni za kuajiri vijana wakapata uzoefu na wakajifunza real programming in real World mpaka wakatoa real product, huwezi kutoka shule Leo ukafikiri utaweza design site kama ya Uber au powerful chip, hayo mambo ni team work na yanaweza kuchukua 100s of Engineers kumaliza project, lazima ufanye kazi Kwa bidii na watu wenye experience and resources ili ujifunze process yote, hata kama una degree hakuna short cut lazima ufanye kazi Kwa bidii ili uwe Engineer mzuri
Kiukweli bila team work ni ngumu kufanikiwa kwenye nyanja ya tech, mfano nimeona kwa wenzetu hata kurun youtube channel inakuwa ni team ya watu wenye taaluma mbalimbali, nilishangaa channel ya jamaa anajiita linus tech ana team ya wafanyakazi wengi hata wengine hawajui majina kila mmoja amebobea kwenye eneo lake, so hadi content inakuwa published inakuwa imepitia kwenye mikono wataalamu mbalimbali
 
Back
Top Bottom