magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Hili jukwaa lisikudanganye, Tanzania kozi ya Programming haina ubora unaostahili pale unatoka na basics tu.Kaa kwa kutulia
Labda umesomea kompyuta sayansi ile ya teofili kisanji
Miaka hiyo nashare na wadau humu kuhusu projects mbalimbali nlizokua nafanya sidhani kama ulikua unajua JF ni kitu gani. Ukiona kibongo bongo mtu wa Programming ana story nyingi za nimesomea nimesomea jua kichwani mtupu. Nahisi upo kundi hilo.
Nyie ndio aina ya wale watu mkiulizwa mnatumia Programming Language ipi mnajibu ENGLISH. Hopeless.
Programming Course ya bongo haikufanyi uwe bora ila mazoezi yako na jinsi unavyoiapply kwenye shughuli zako.