Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Umeelewa mada @ lengo langu ??Umeelewa izo info vzuri mleta mada!?
Kasome tenaaUmeelewa mada @ lengo langu ??
Ngoja nikusaidie, Mutual fund zote SP na RPS ni sawa kasoro UTT tu.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umoja FundKasome tenaa
Na liquid,watoto,Wekeza maisha ebu elezea bwana mdogoUmoja Fund
Selling Price:- 1,135
Repurchasing Price = 1,124
Faida Fund
Selling Price = 126
Repurchasing Price = 126
#YNWA
#YANGA_BINGWA
kokurupuka tu aisee🤣🤣 hajui mifuko inafanyaje kaziUmoja fund si UTT?
Tanzania ina mutual fund 6 zenye funds zifuatazo.Jamaa
kokurupuka tu aisee🤣🤣 hajui mifuko inafanyaje kazi
Mutual fund bongo kwa mwaka jana wa calendar zime record Return ya 13%Mtoa mada yuko sahihi ingawa sio kwa 100%.
Mwekezaji yeyote kabla ya kufanya maamuzi ya kuwekeza, anatakiwa kuangalia gharama za uwekezaji na kiwango cha faida anachoweza kupata.
Bei ya kuuza na kununua vipande ni mojawapo ya taarifa muhimu. Bei zilizoorodheshwa hapo ni bei ya siku ya tangazo. Hiyo ni tofauti na bei ambayo mwekezaji alinunua vipande hivyo. Kwahiyo, bado kuna faida mwekezaji atapata iwapo anawekeza kwa muda mrefu.
Mifuko inayonalenga wawekezaji wa muda mfupi kama liquid inakuwa na bei za kuuza na kununua zinazofanana zaidi kuliko mifuko ya malengo ya muda mrefu.
Kwahiyo, cha msingi ni kupiga hesabu ya kiwango cha faida kwa kila kipande kwa muda unaotarajia kuwekeza na kufanya maamuzi yanayoendana na malengo yako.
Kiujumla, Faida Fund na UTT funds hazina tofauti sana.
Umeelewa mada braza?Umoja fund si UTT?
Nilikuwa naona mafoto foto ila sasa nimeelewa.Ina maana kama leo utaamua kuuza Vipande vyako halafu ghafla ukaamua kuvirudisha tena kwenye account yako basi Automatically VINASHUKA THAMANI.
Ila mifuko mengine yoteee ukiamua kuuza kipande halafu ghafla ukabadili maamuzi basi bei uliyouzia vipande vyako hiyo siku ndio bei utakayo inunulia hiyo siku.
😳😳😳😳UMEELEWA?
Mshua acha kushupaza shingo.Na liquid,watoto,Wekeza maisha ebu elezea bwana mdogo
Karibu.Nilikuwa naona mafoto foto ila sasa nimeelewa.
Pitia Comment #15Unaweza ukasoma na usielimike