Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

Kwenye liquid fund, bei ni moja kama faida fund.
Sio lazima kuwekeza kwenye mifuko yote.
Hoja yangu ili base hapa👇👇👇

""Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit.""

Na kama bado hujaelewa basi pitia Comment #15

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mutual fund bongo kwa mwaka jana wa calendar zime record Return ya 13%
Hivyo hazina utofauti ila mimi mada yangu imeelenga kwenye hoja namba #15.
SELLING PRICE Vs REPURCHASING PRICE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA

Basically, managers wa mifuko hiyo wanadiscourage wateja kuuza vipande kwa muda mfupi. Ni mifuko inayohamasisha uwekezaji wa muda mrefu. That is not to say kuwa haina matokeo mazuri.
 
Jamaa
kokurupuka tu aisee🤣🤣 hajui mifuko inafanyaje kazi

Ndo umeweka nini sasa hapo unaejiita msomi?

Unaweza ukasoma na usielimike

Na ana masters ya Finance.





Na kwa kuwasaidia mimi ni Active member wa FAIDA FUND na SALAN INVESTMENT na MWEZI HUU NAINGIA INUKA FUND.

Karibu mpate elimu zaidi.

Lakini siku nyengine nawashauri, kabla ya kujibu hoja huna haja ya ku attack mtoa mada ila elewa hoja THEN JIBU HOJA.

Kama unahisi ukubaliani na mtoa mada na huna cha kuandika basi JUST AGREE TO DISAGREEE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Basically, managers wa mifuko hiyo wanadiscourage wateja kuuza vipande kwa muda mfupi. Ni mifuko inayohamasisha uwekezaji wa muda mrefu. That is not to say kuwa haina matokeo mazuri.

Mimi Binafsi nipo FAIDA FUND na SANLAM INVESTMENT.

Ila nipo huku kama kutunza pesa kwa muda, Yaani nimefanya huku kama ndio saving account zangu..!!!

Huwa siamini kabisaa kama huku kwenye money market kuna kutoboa ila naweka hela huku kama zina kazi fulani ambayo itafanyika wakati fulani ujao.
Na sijawahi weka hela zaidi ya miezi miwili 2...!!!

Ila pia kwa RIR ya 13% annually halafu mbongo anafurahia huwa naona kama jau..!!!

Na hapo kumbuka unachovuna kamili ni (watu husahau kabisaa kama kuna kitu kinaitwa Inflation)

REAL INTEREST = NOMINAL INTEREST - INFLATION

sasa chukulia mwaka jana

REAL INTEREST = 13% - 4%

Kwahiyo mwaka jana raia wamevuna asilimia 9% tuuu ya pesa yao na sio 13..!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Haha. kuna Faida ya gawio mkuu ni 1% kwa mwezi
 
Usiwachanganye watu na vingereza vyako,naomba utuwekee bei ya kununua kipande na kuuza kipande UTT mfuko wa Bond.
 
Bora kuweka pesa ikiwa katika mfumo wa dollar inakuwa stable
 
Inahitajika elimu ya kitu kwa Watz wengi aisee

WaTZ wengi wameelimika ila wotee wanakimbilia UTT

Sasa hivi UTT ni Fund manger wa mojawapo ya mfuko wake wenye thamani ya zaidi ya Tril 1..!!

Sio hapa watu wamewekeza japo BADO TUNA SAFARI NDEFU.

Wabongo hawapendi kutafuta elimu wao hukimbilia tu UTT bila kujua UTT ana mbadala kibaooooo

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Reactions: K11
Nadhani hata thamani ya vipande inapanda kulinda inflanation. Kama kipande cha liquid mwezi watano mwaka jana kilikuwa 400 sasa hivi ni 435 kama sijakosea

Hiyo ni 8% ya rise from the principle value ila inflation bongo huwa ni 4% - 5%
Hivyo kiuhalali umevuna 4% (tukichukulia inflation in a minimal value)

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Reactions: K11

Soma tena ulichokiandika halafu rudi kwenye picha nilizo attach

Nakukumbusha, nilichoandika ni hiki??

UTT pekee yake ndio Selling Price Vs Repurchasing Price ni tofauti ila Mutual fund nyengine zotee zipo sawa.

Kwanini ni UTT tu??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Usiwachanganye watu na vingereza vyako.

Kama kawaida yako man na "Personal Attack" zako.
Hivi huwa huwezi kutoa hoja bila kumshambulia mtu personally?

Mi huwaga nahisi kama una changamoto ya akili, kwanini usimuone daktari akakushauri??

Ni kwamba huwezi kabisaa ku-deal na hoja bila kumuhusisha mtoa hoja?

Una kumbuka nilishawahi kukupaga lecture ya "Agree to disagree""??

Hebu itumie ile mshua, UTAFIKA MBALI.

Na Mungu akuongoze kwenye hizo hasira ulizozijaza moyoni.

Anyway
Tuendelee kutafuta hela

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Utt ina mifuko 6, mbona unaizungumzia kama kitu kimoja.

Iangalie yote.

Na nadhani walivyoona hii factor wakaamua kuanzisha mifuko miwili inayofanana na wenzake ila wao tokea mwanzo SP Vs RPP ni tofauti.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…