Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

Kwa uelewa, I doubt kama ni investor wa mutual fund yoyote.

Uelewa wake wa ‘investment intermediaries’ una utata.
Kwakweli amenishangaza sana uelewa wake hauna tofauti na Darasa la saba ,nadhan ipo haja ya kujenga msingi mzuri vijana wafundishwe kuhusu hii mifuko ya Hisa wasije kudanganyika.
 
Ungekuwa na hoja ya maana ungeeleweka lakini hoja ya maana siioni mutual funds za huko duniani mbona bei ya kununua na za kuuza hazifanani ?

Kwanza kwenye Mutual funds kununua na kuuza ndani ya siku hiyo hiyo ni ngumu.

Kwasababu bei ya kununua au kuuza vipande katika mutual fund inategemea thamani ya mali za mfuko, ambayo huhesabiwa mara moja tu kila siku baada ya soko kufungwa.

Ukinunua ni sawa na kutuma maombi alafu mwisho wa siku ndio vipande vyako huwekwa, utauzaje siku hiyo hiyo?

Ni tofauti na kwenye masoko ya hisa, ETF
 
Kwanza hazipo 6 zipo 7 kuna Itrust fund nao hujawataja
 
Sasa post uliyoweka inaonesha bond na liquid zipo sawa kwenye selling and repurchasing kwaio unataka a download nni tena hapo
 
Mkuu Nashukuru kwa mada nzuri. Ila mimi labda sijaelewa ila naona kama repurchase ikiwa ndogo inakupa faida wewe au vp.

Mfano: nna vipande 8,000 ambavyo kwa bei ya siku hiyo SP ni 135 na RPS ni 126, nikiuza inakua 8,000 × 135 = 1,080,000 na baada ya kuuza nikataka kununua tena ndo bei inakua 126, ambapo kwa pesa nliopata 1,080,000 ÷ 126 = 8,571 ambavyo naona ni vipande vingi zaidi kuliko vya mwanzo.

Naomba kueleweshwa nmepotea wapi🙌🏿
 
Si
Sio kweli mfuko wa Bond fund wa UTT AMIS selling price na buying price yake zipo sawa
 
Mfano kwa mtu ambae bado yupo busy na mambo fulani mfano masomo kitu ambacho kinaweza kumzuia kufanya uwekezaji wa high risk kama biashara unadhani hii mifuko ya uwekezaji haiwezi ikawa suluhisho kwa time frame flani??
 
Hata mtu asiye na akili mfano akiwekeza 500M anakuwa na uhakika wa milion 5 kwa mwezi. Sasa embu mpe mtu asiyekuwa na akili ya biashara milion 500 afu uone kwa mwezi atakuwa amezalisha ngapi 🤣
 
Biashara ina risk mkuu kutoboa ni ujanja.
Vipi kule M wekeza mambo yakoje

Hakuna tofauti sana lakini ukiwa na kibunda cha maana ndio utaona matunda. Pia sisi tunaopenda kubeti haitufai😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…