Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

Mikoa ya pwani, lindi,tanga na tabora watu wake Wana uwezo mdogo wa kufikiri sababu ya mazindiko ya kitaifa yaliyofanywa huko vipindi tofauti tofauti.
Uchawi upunguza uwezo wa kufikiri.
Hata viongozi wanaotumainia ndumba hata kama mtu ana phd reasoning zao huwa chini sana.
 
Ni kama vile wanaume kuzibuliwa mitaro ya nyuma tunavyoona ni uchawi, wao wazungu hichocni kitu cha kawaida, na ukijaribu kukizuia wanakunyima misaada.
Kwanza Kuzibuliwa mitaro si uchawi ni tabia isiyohusiana na asili au rangi ya mtu.

Pili Ukitaka kuishi bila masharti ya misaada jitegemee kama huwezi basi fuata masharti.

Tatu na mwisho Wazungu hawakulazimishi uzibuane mitaro, wanataka usiwaghasi wazibuliwa mitaro.

Sasa kama huna wanaozibuliwa mitaro tatizo lipo wapi? Na kama unao wazibuliwa mitaro usikope au kuomba misaada ili ukimbizane na mashoga wako bila usumbufu.
 
Miaka 1000 iliyopita, ningeshika smartphone na kupiga picha, nisingeitwa mchawi? Uchawi ni usichokijua, ukikijua tu, kinaacha kuwa uchawi
Uchawi ni nguvu hasi au kitu kisichokuwa na faida kwa mchawi mwenyewe au hata jamii.
 
Sawa, ila jibu swali kwanza, au badili kwenye uchawi weka roho ya korosho. Maana uchawi haupo, ila roho ya korosho ipo, usichanganye concept hizo mbili tofauti.
Uchawi ni nguvu isiyoonekana kwa macho lakini inatenda kazi.Roho ya korosho inaonekana zote ni dalili au ni matokeo ya uchawi
 
Hakimu mfawidhi, siku moja hao wanajeshi wako napenda nije niwaone live!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama vile wanaume kuzibuliwa mitaro ya nyuma tunavyoona ni uchawi, wao wazungu hichocni kitu cha kawaida, na ukijaribu kukizuia wanakunyima misaada.
Kuzibuliwa mitaro hakuna uhusiano na race,race zote zimeathirika, wazungu wanathamini UHURU wa KILA mtu
 
Kumbe ccm ni uchawi, miaka 60 BADO hutubadiliki
Nguvu ya uchawi wao ipo kwenye niambie nini faida ya mwenge kwa Mtza,ile kuzindua miradi ni gheresha tu lakini lengo kuu ni kuwaroga watz wazidi kuwa masikini ili ccm isife.Thus sehemu mwenge unapolala watu uwekewa disco vumbi kama kivutio cha watu kuja kukesha lile tendo ni sawa na kushiriki ibada za kichawi kwa kucheza ngoma usiku kucha
 
Nimesema huku sisi huwa tunaona kama uchawi, ila kwao hilo ni jambo la kawaida, sasa ‘kuona’ kama uchawi ndio nimesema ni uchawi?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Uchawi ni nguvu hasi au kitu kisichokuwa na faida kwa mchawi mwenyewe au hata jamii.
Hiyo tunaita ‘roho mbaya’ , uchawi ni kitu kingine, ‘uchawi ni teknolojia usioijua’, ukishaijua tu, inakuwa si uchawi, bali ni maarifa, mfano ‘uchawi wa kizungu’, ni teknolojia zao tusizozijua
 
Uchawi ni nguvu isiyoonekana kwa macho lakini inatenda kazi.Roho ya korosho inaonekana zote ni dalili au ni matokeo ya uchawi
Uchawi ni maarifa usiyoyajua, ukijua haitakuwa tena nguvu isiyooneka, bali itakuwa ni maarifa tu. Mfano nichukue sumaku halafu nianze kukivuta chuma kwa kutumia magnetism (nguvu isiyoonekana), kwa wapumbavu wa karne ya 16 wangeniita mchawi na kunikimbiza, ila kwa wenye maarifa ya karne ya 20 wasingeshangaa, sababu wanajua nguvu ya sumaku ni nini.
 
Kuzibuliwa mitaro hakuna uhusiano na race,race zote zimeathirika, wazungu wanathamini UHURU wa KILA mtu
Sawa, ila kwetu huku hicho kitendo ni kama uchawi, ila kwao ni cha kawaida, cultural values zinatofautiana
 
Kuna mdau amekuwekea kielelezo cha google. Suffer ina maana mbili: iliyozoeleka ni “kupata au kupitia maumivu ya mwili au mawazo”. Physical or emotional pain.

Ya pili ni: kuvumilia jambo (tolerate). Inatumika zaidi kwenye maandiko ya kiingereza ya zamani kama biblia. Inaweza kusomeka: mchawi asivumiliwe (asiachwe kuishi), auawe.

Mleta mada ajihadhari sana na kuchangamkia maandiko ya Agano la Kale ambayo mengi yalihusu kuwezesha utawala wa Wayahudi. Km neno lenyewe hasa linasema: usimuache mwanamke mchawi aishi. Je, inakuwaje kwa mwanaume mchawi?

Agano Jipya linazitambua dhambi zote lakini halimpi binadamu madaraka ya kuhukumu na kutoa uhai wa mwingine. Kumbuka Yesu alisemaje kuhusu kumuua kwa mawe mwanamke mzinzi: Yohana 8:1-11. Kila mtu anapewa nafasi ya kutubu na kusamehewa dhambi.
 

Mmh[emoji3][emoji3166]
 
Sijauliza ‘definition’ ya ‘Suffer’, bali nimeuliza tafsiri / ‘translation’ ya neno ‘Suffer’ kwenda kwenye kiswahili toka kiingereza, ni ipi? Ni kweli una kichwa kizito hivyo au unafanya makusudi?

Si uingie google utafute tafsiri yake, au unafikiri kila mtu ni mwalimu wa kiingereza.
 

Unaijua Time Travel wewe?

Tumia uchawi sasa uende future kama utaweza, uchawi utabaki kuwa takataka tu
 

Mamlaka ilisharudishwa tena kwa mwanadamu kupitia Yesu Kristo
 


Ur still a learner u don't even know what constitutes the true knowledge. The true knowledge must possess the following qualities

1. It must help you to acquire power.

2. It must help you to protect the power that u have acquired

3. It must help you to maintain power.

Watu wako wangekuwa Na true knowledge wasingeweza kuwa conquered achilia Mbali kuuwawa kabisa..

It is an insult to the term knowledge to state that what they had was "knowledge". Don't u ever tell me anything about the so called secret knowledge possessed by ur people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…