Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Qur'an imeshaelezea kila kitu kuhusu uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza Kuzibuliwa mitaro si uchawi ni tabia isiyohusiana na asili au rangi ya mtu.Ni kama vile wanaume kuzibuliwa mitaro ya nyuma tunavyoona ni uchawi, wao wazungu hichocni kitu cha kawaida, na ukijaribu kukizuia wanakunyima misaada.
Uchawi ni nguvu hasi au kitu kisichokuwa na faida kwa mchawi mwenyewe au hata jamii.Miaka 1000 iliyopita, ningeshika smartphone na kupiga picha, nisingeitwa mchawi? Uchawi ni usichokijua, ukikijua tu, kinaacha kuwa uchawi
Uchawi ni nguvu isiyoonekana kwa macho lakini inatenda kazi.Roho ya korosho inaonekana zote ni dalili au ni matokeo ya uchawiSawa, ila jibu swali kwanza, au badili kwenye uchawi weka roho ya korosho. Maana uchawi haupo, ila roho ya korosho ipo, usichanganye concept hizo mbili tofauti.
Hakimu mfawidhi, siku moja hao wanajeshi wako napenda nije niwaone live!Yeye mungu alishindwa nini kumuua shetani. Maana biblia inasema shetani ndio chanzo cha maovu yote, sasa unauaje matokeo ya uovu halafu chanzo ama source unaiacha, si utaua kila siku?
Dini ni mambo ya kitapeli, ni utapeli mtupu. Mungu wala shetani hawapo.
Kuzibuliwa mitaro hakuna uhusiano na race,race zote zimeathirika, wazungu wanathamini UHURU wa KILA mtuNi kama vile wanaume kuzibuliwa mitaro ya nyuma tunavyoona ni uchawi, wao wazungu hichocni kitu cha kawaida, na ukijaribu kukizuia wanakunyima misaada.
Nguvu ya uchawi wao ipo kwenye niambie nini faida ya mwenge kwa Mtza,ile kuzindua miradi ni gheresha tu lakini lengo kuu ni kuwaroga watz wazidi kuwa masikini ili ccm isife.Thus sehemu mwenge unapolala watu uwekewa disco vumbi kama kivutio cha watu kuja kukesha lile tendo ni sawa na kushiriki ibada za kichawi kwa kucheza ngoma usiku kuchaKumbe ccm ni uchawi, miaka 60 BADO hutubadiliki
Nimesema huku sisi huwa tunaona kama uchawi, ila kwao hilo ni jambo la kawaida, sasa ‘kuona’ kama uchawi ndio nimesema ni uchawi?Kwanza Kuzibuliwa mitaro si uchawi ni tabia isiyohusiana na asili au rangi ya mtu.
Pili Ukitaka kuishi bila masharti ya misaada jitegemee kama huwezi basi fuata masharti.
Tatu na mwisho Wazungu hawakulazimishi uzibuane mitaro, wanataka usiwaghasi wazibuliwa mitaro.
Sasa kama huna wanaozibuliwa mitaro tatizo lipo wapi? Na kama unao wazibuliwa mitaro usikope au kuomba misaada ili ukimbizane na mashoga wako bila usumbufu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yeye mungu alishindwa nini kumuua shetani. Maana biblia inasema shetani ndio chanzo cha maovu yote, sasa unauaje matokeo ya uovu halafu chanzo ama source unaiacha, si utaua kila siku?
Dini ni mambo ya kitapeli, ni utapeli mtupu. Mungu wala shetani hawapo.
Hiyo tunaita ‘roho mbaya’ , uchawi ni kitu kingine, ‘uchawi ni teknolojia usioijua’, ukishaijua tu, inakuwa si uchawi, bali ni maarifa, mfano ‘uchawi wa kizungu’, ni teknolojia zao tusizozijuaUchawi ni nguvu hasi au kitu kisichokuwa na faida kwa mchawi mwenyewe au hata jamii.
Uchawi ni maarifa usiyoyajua, ukijua haitakuwa tena nguvu isiyooneka, bali itakuwa ni maarifa tu. Mfano nichukue sumaku halafu nianze kukivuta chuma kwa kutumia magnetism (nguvu isiyoonekana), kwa wapumbavu wa karne ya 16 wangeniita mchawi na kunikimbiza, ila kwa wenye maarifa ya karne ya 20 wasingeshangaa, sababu wanajua nguvu ya sumaku ni nini.Uchawi ni nguvu isiyoonekana kwa macho lakini inatenda kazi.Roho ya korosho inaonekana zote ni dalili au ni matokeo ya uchawi
Sawa, ila kwetu huku hicho kitendo ni kama uchawi, ila kwao ni cha kawaida, cultural values zinatofautianaKuzibuliwa mitaro hakuna uhusiano na race,race zote zimeathirika, wazungu wanathamini UHURU wa KILA mtu
Sawa, nimekuelewa.Nimesema huku sisi huwa tunaona kama uchawi, ila kwao hilo ni jambo la kawaida, sasa ‘kuona’ kama uchawi ndio nimesema ni uchawi?
Kuna mdau amekuwekea kielelezo cha google. Suffer ina maana mbili: iliyozoeleka ni “kupata au kupitia maumivu ya mwili au mawazo”. Physical or emotional pain.Matusi si kwamba wengine wanashindwa kutukana, ni ustaarabu tu ndio unawaongoza. Sasa kama umeleta hoja jukwaani si inabidi wadau tuichekeche. Kama hoja haina mashiko basi idhihirike hivyo. Nimetamani kujua tafsiri ya neno ‘Suffer’, na bado ningependa kujua imetafsirika vipi kwenda kiswahili...
Miaka ya 90 Kuna jamaa alitoka Babati akaja kuishi kitaa Fulani jijini Darusalama ambacho asilimia tisini Ni wenyeji WA kusini mwa Tanzania. Jamaa alikuwa mfanyakazi WA Serikali so alipangiwa mjini Daslamu. Kwao aliambiwa Bwana ukifika Pwanj hakikisha una heshimu wazee ili uwe Salama usije kurogwa bure.
Jamaa wosia ulimkaa kichwani Kweli Kweli alipo fika kwenye hicho Kitaa akawa anajipendekeza Sana Kwa wazee Na Kweli wazee walimpenda kama Mtoto wao.
Sasa alicho kosea jamaa Ni pale alipo Anza kuleta story za kwamba amenunua kiwanja Na kwamba ameanza kufyatua matofali.
Wale wazee wakasema usitutanie Mtoto mdogo. Basi una aambiwa wakamtupia uchawi jamaa akawa MTU WA wanawake Na pombe kuhonga Sana . Jamaa alikuwa mlevi mpaka akawa anazingua kazini mwisho WA siku akapigwa chini kazini huku nyumba IPO kwenye lenta . Jamaa akagoma kwenda kwao ( nahisi walimfunga asiende kwao) Ile nyumba yake ambayo bado haijakamilika akaiuza Hela aliyo pata ikawa pombe Na mademu kama kawa . Mwisho WA siku Pesa ikakata akaanza kunywa gongo siku akipata bia . Wahuni wakamwambia anatumia hela nyingi bure kununua pombe avute bangi Bei rahisi halafu akivuta bangi atasahau shida zake zote. Jamaa akaingia kwenye bangi Na Kweli frustration zikaisha kabisa akawa Na furaha kama Zamani as if nothing has happened to him.
WALE WAZEE WAKAWEKA KIKAO WAKASEMA NO WAY , WALIMROGA AFILISIKE ILI AUONE UCHUNGU NA FEDHEHA YA KUWA FUKARA KAMA WAO NA WATOTO WAO SO WAKAMROGA TENA SAFARI HII WAKAROGA WAKINUIZIA KWENYE BANGI ATAKAYO IVUTA, JAMAA AKAWA AKIVUTA BANGI HAPATI STIMU... FRUSTRATION ZIKARUDI UPYA
Sijauliza ‘definition’ ya ‘Suffer’, bali nimeuliza tafsiri / ‘translation’ ya neno ‘Suffer’ kwenda kwenye kiswahili toka kiingereza, ni ipi? Ni kweli una kichwa kizito hivyo au unafanya makusudi?
Mpumbavu kweli wewe hujielewi, hivi unafikiri uchawi ni kitu kidogo kama ulivyofundishwa??
Mchawi kuweza kufika popote labda Dar to Mwanza kufumba na kufumbua yupo huko unadhani ni kitu kidogo?
Mjinga wewe! Hivi unaijua historia ya yule msukuma mchawi wa Mwanza Mwanamalundi, aliwaambia wanakijiji wenzake wakati wa njaa na chakula kimekwisha, walime kila mtu shamba lake tena ni kiangazi, na jioni siku hiyo hiyo wakaenda kuvuna, aliyepanda viazi alivuna viazi, mahindi nk..njaa ikaisha, ana alama zake pale kwenye miamba amechomeka mkuki kwenye jiwe hadi leo upo, wazungu walihangaika kumtafuta kumuua lakini wapi!! Sijui alikufaje!
Ngoja nikueleze mwehu wewe, wakoloni walipokuja kutawala dunia hasa hawa wenye ukristo wa kikatoliki kama Italy, Ufaransa, Uingereza (anglican) Ureno, Hispain, Ujerumani nk hawa waliua watu wote wenye secret knowledge ( dini ikaita uchawi), na wakaleta elimu na dini ili ku brain wash ( mind programming) hivyo hivi sasa binadamu tumebakia as nothing, just workers to Illuminati Gods, Lucifer who Knowns as Elohim by Jews kwamba binadamu is no more, should depend upon the Savior wakatuletea Yesu
Nakushangaa wewe unayeuponda uchawi ambayo ni secret knowledge ya Uungu, Nasi tumesahaulishwa kabisa kuwa sisi ji nani by nature!! WE ARE SPIRITUAL, WE ARE GODS BY NATURE hivyo no one Deserve WORSHIP Than Yourself..
Umeandika vizuri ila hiyo akili ya mwanadamu bila Mungu haimuwezi shetani, why? Mwenzao 1:27 mwanadamu alitoa mamlaka yake kwa shetani.
Yeremia 10:23 BHN
Najua, ee Mwenyezi-Mungu, binadamu hana uwezo na maisha yake; hakuna mtu awezaye kuyaongoza maisha yake.
“Kinachozungumzwa Hapo ni akili ya mwanadamu”