Mjinga yule jamaa toka aingie pale mpak l3o hakuna cha maana hata kimoja. Hata idea moja productive hajatoa, juzi nmeona katoa wimbo anaimba "happy birthday to you"ππYule waziri wa vijana wa "see you at the top"
Baada ya kuingia mjengoni na kuanza kula keki, Sasa hivi kimya.
Njaa mbaya sana.
Na ndo muda wa motiveshen unaishilia now. Kila kitu chao kishazoeleka sas na miaka 2 ijayo hawana jipya tena. Walitambaga watu wali9kuwa wanaelezea freemasoni miaka ile. Leo hawapo!Kila mtu atakuambia ufikirie nje ya box ili ujinasue na mtego uliokushikilia ila ni ngumu kuwa na mawazo thabiti kama ukame unakuandama, maana saikolojia yako imekuwa disturbed.
Ni ngumu kujitoa katika ufukara na madeni ya mitaani kama ulilazimika kimataduni au kulazimishwa na wazazi kupata watoto ambao ni wategemezi wako huku kipato chako kinaruhusu mtu mmoja.
Na haya ndio maisha ya watanzania wengi mnooooo!, watu wamekuwa trapped katika system inayo kuforce utumike vikali kwa ajili ya rasilimali chache ambazo zimekuwa rationed kwa hio ili kukidhi maisha yake inabidi afanye wizi.
Sasa jiulize 90% ya waajiriwa wakifanya wizi ili kujikidhi, ni asilimia ngapi ya watu wengine mitaani waathirika kwa kukosa rasilimalo muhimu.
Kila motivation speaker anakuambia wewe ni mpumbavu ndio maana umefulia lakini anasahau yeye ni sehemu ya kula keki special
Ukishalamba asali, akili yote inahamia kwenye kumsifia Mama.Mjinga yule jamaa toka aingie pale mpak l3o hakuna cha maana hata kimoja. Hata idea moja productive hajatoa, juzi nmeona katoa wimbo anaimba "happy birthday to you"ππ
Dah tuko mkuntun mwa dunia huku mbona tunaisoma
je wanaolima huko kilolo wote ni mamilionea?Kinachotuendesha ni mfumo na wala si PESA... mfumo umeundwa tuwe watumwa wa "mafanikio"..
Siku hizi kila mwenye nafasi ya kusikilizwa basi lazima akwambie jinsi ulivyo mjinga kwakuwa hauna gari au nyumba ya kisasa au husafiri kwenda hata China.
Siku hizi mtandaoni kila msemaji anajua dalili na ishara za umaskini na maskini..
Injili ya mitume nayo ipo kuonyesha umiliki wa gari ni upako, kupata kazi ya mshahara wa kitasa ni maendeleo akati umeacha mamilioni kwenye kilimo shambani kwenu Kilolo.....
Siku hizi kila mtu anaambiwa yeye chosen one,,,
Unaambiwa tafuta hela ili adui zako waumie, siyo ikusaidie..
human race is under fu.cking illusion....
Hoj y jmaa ina msingi wa kifalsafa, mbon unaiuliz swsl simple namnq hii?je wanaolima huko kilolo wote ni mamilionea?
Hakuna pahala kijana wa kitz atafanikiwa labda na yeye aopolewe katika mfumo wenye mzunguko mkubwa ambapo sio free kuingia na kutokaMjinga yule jamaa toka aingie pale mpak l3o hakuna cha maana hata kimoja. Hata idea moja productive hajatoa, juzi nmeona katoa wimbo anaimba "happy birthday to you"ππ
Dah tuko mkuntun mwa dunia huku mbona tunaisoma
Hakika mkuu.Kinachotuendesha ni mfumo na wala si PESA... mfumo umeundwa tuwe watumwa wa "mafanikio"..
Siku hizi kila mwenye nafasi ya kusikilizwa basi lazima akwambie jinsi ulivyo mjinga kwakuwa hauna gari au nyumba ya kisasa au husafiri kwenda hata China.
Siku hizi mtandaoni kila msemaji anajua dalili na ishara za umaskini na maskini..
Injili ya mitume nayo ipo kuonyesha umiliki wa gari ni upako, kupata kazi ya mshahara wa kitasa ni maendeleo akati umeacha mamilioni kwenye kilimo shambani kwenu Kilolo.....
Siku hizi kila mtu anaambiwa yeye chosen one,,,
Unaambiwa tafuta hela ili adui zako waumie, siyo ikusaidie..
human race is under fu.cking illusion....
Ukisema mfumo unamaanisha nn mkuu? Mana neno mfumo niliwah kumuona nalo yule jamaa wa room of jeans lakin mpaka mahojiano yanaisha hakuwah kuutaja mfumo alioungelea unaitwaje.Hakuna pahala kijana wa kitz atafanikiwa labda na yeye aopolewe katika mfumo wenye mzunguko mkubwa ambapo sio free kuingia na kutoka