π₯π₯π₯Umasikini ni mnyororo mrefu uliofunga Koo na vizazi vya watu, Nakuombea dua msomaji uwe shujaa wa kuvunja pingiri za mnyororo wa Umasikini.
Umasikini ni kama maradhi yaliyo enea kwenye Taifa fulani, nakuombea uwe Kiongozi mahiri ulitibu Taifa lako.
Unakumbuka moja ya sehemu ya mazungumzo yake alisema hakuna ukweli ya kuwa kuna mtu anaanza na laki 2 alafu baada ya muda mfupi ana mamilioni au mabilioni, akasema hapo unakuta kuna sehemu kachukua pesa za kutosha alafu akaenda kuzimwaga kwenye biashara.Ukisema mfumo unamaanisha nn mkuu? Mana neno mfumo niliwah kumuona nalo yule jamaa wa room of jeans lakin mpaka mahojiano yanaisha hakuwah kuutaja mfumo alioungelea unaitwaje.
Mfumo unaouzungumzia wew unaitwaje
Huo sio mfumo sas, hiyo sio system hiyo ni methodological toolUnakumbuka moja ya sehemu ya mazungumzo yake alisema hakuna ukweli ya kuwa kuna mtu anaanza na laki 2 alafu baada ya muda mfupi ana mamilioni au mabilioni, akasema hapo unakuta kuna sehemu kachukua pesa za kutosha alafu akaenda kuzimwaga kwenye biashara.
ndo hapo tulipokuwa brainwashed... "umilionea"je wanaolima huko kilolo wote ni mamilionea?