Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4.
Kwanini?
1. Wazazi wanaosomesha shule za EMs na private secondary huwaga wanataka kujitofautisha na wazazi wengine. Hutaka watoto wao wawe kwenye class tofauti na watoto wanaosomeshwa Kayumba. Sasa matokeo yanapotoka wote Wapo level moja wazazi hawa hukasirika Sana. Hawaendi watoto wao wawe level sawa na watoto wa Kayumba.
2. Wazazi wanao somesha Ems na Private schools hutumia hela nyingi na nguvu nyingi kulipa ada shule hizo ili watoto wao wapate ufaulu mkubwa ilihali wazazi wa Kayumba wao hawalipi chochote wanakula bata tu , Sasa matokeo yanapo toka halafu watoto wa Kayumba wakawa na wani kama watoto wao wa private wazazi hawa wa private hukasirika Sana na pengine hujiona wajinga...
Hata hawa wa humu JF wanaomponda LIKUD humponda Kwa sababu Likud huwaambia ukweli mchungu ambao unawafanya wajione wajinga kulipa hela nyingi kwenye shule za EMs na private za mtaala wa Necta, lakini ndani ya nafsi zao wanajua Likud yupo sahihi