Hii ndio sababu kwanini wazazi wanaosomesha Ems na Private schools wanachukia Division 1 za Kayumba Schools

Mimi kwa sekondari sipingi mtoto kusoma private school.. maana elimu ya sekondari ina content zinazohitaji u serious zaidi.

Mimi napinga elimu ya msingi kulipiwa milioni na mzazi mwenye kipato cha mshahara wa TGS, Yaaani mtoto anafundishwa vitu vidogo vidogo kama kuhesabu namba, ama umbo la panzi. Halafu mzazi analipishwa mamilioni. Hapo hakuna value for money
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4.

Kwanini?

1. Wazazi wanaosomesha shule za EMs na private secondary huwaga wanataka kujitofautisha na wazazi wengine. Hutaka watoto wao wawe kwenye class tofauti na watoto wanaosomeshwa Kayumba. Sasa matokeo yanapotoka wote Wapo level moja wazazi hawa hukasirika Sana. Hawaendi watoto wao wawe level sawa na watoto wa Kayumba.

2. Wazazi wanao somesha Ems na Private schools hutumia hela nyingi na nguvu nyingi kulipa ada shule hizo ili watoto wao wapate ufaulu mkubwa ilihali wazazi wa Kayumba wao hawalipi chochote wanakula bata tu , Sasa matokeo yanapo toka halafu watoto wa Kayumba wakawa na wani kama watoto wao wa private wazazi hawa wa private hukasirika Sana na pengine hujiona wajinga...

Hata hawa wa humu JF wanaomponda LIKUD humponda Kwa sababu Likud huwaambia ukweli mchungu ambao unawafanya wajione wajinga kulipa hela nyingi kwenye shule za EMs na private za mtaala wa Necta, lakini ndani ya nafsi zao wanajua Likud yupo sahihi
Somesha mtoto acha propaganda
 
Wazazi wengi hawana elimu ya kupembua mambo na hawajui misingi ya elimu, ni ama wao walikuwa mbumbumbu shuleni na wamekuwa limbukeni kushadiadia ems wakidhani huko ndiko kuna elimu hasa kuliko kayumbaz. Hawajui kuwa mtaala ni mmoja!
Mtaala ni mmoja ila lugha tofauti mkuu hata ubora tofauti yaani umpeleke mtoto kwenye shule yenye wanafunzi 1500 madarasa yapo saba walimu 15 na kumpeleka mtoto kwenye shule yenye wanafunzi 300 na walimu 25 harafu useme ubora ni uleule?
 
Mtu kasoma St Francis, chuo Swiden, halafu nipo nae ofisi Moja na mshahara namzidi. Sasa huko alienda kufanya nini?. Ngoja niendelee kujitafuta mie.
  • Wajinga watakwambia eti exposure
  • Katumia milioni zaidi ya 30 kusoma secondary na primary halafu wewe umetumia haizidi 3m kusoma secondary na primary, kimsingi wewe ndio genius na ndio winner
  • na salary umemzidi
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4.

Kwanini?

1. Wazazi wanaosomesha shule za EMs na private secondary huwaga wanataka kujitofautisha na wazazi wengine. Hutaka watoto wao wawe kwenye class tofauti na watoto wanaosomeshwa Kayumba. Sasa matokeo yanapotoka wote Wapo level moja wazazi hawa hukasirika Sana. Hawaendi watoto wao wawe level sawa na watoto wa Kayumba.

2. Wazazi wanao somesha Ems na Private schools hutumia hela nyingi na nguvu nyingi kulipa ada shule hizo ili watoto wao wapate ufaulu mkubwa ilihali wazazi wa Kayumba wao hawalipi chochote wanakula bata tu , Sasa matokeo yanapo toka halafu watoto wa Kayumba wakawa na wani kama watoto wao wa private wazazi hawa wa private hukasirika Sana na pengine hujiona wajinga...

Hata hawa wa humu JF wanaomponda LIKUD humponda Kwa sababu Likud huwaambia ukweli mchungu ambao unawafanya wajione wajinga kulipa hela nyingi kwenye shule za EMs na private za mtaala wa Necta, lakini ndani ya nafsi zao wanajua Likud yupo sahihi
Acha stress hizi mkuu tafuta hela!! Yani kusomesha mwanao unaona ni jambo kubwa lakuanzishia uzi? Binafsi natimiza wajibu kwakumpa anacho staili!! na wewe timiza wajibu kwkupeleka kayumba huo ndo uwezo wako” akipata one kayumba kwangu ni sawa tu
 
Mtaala ni mmoja ila lugha tofauti mkuu hata ubora tofauti yaani umpeleke mtoto kwenye shule yenye wanafunzi 1500 madarasa yapo saba walimu 15 na kumpeleka mtoto kwenye shule yenye wanafunzi 300 na walimu 25 harafu useme ubora ni uleule?
it is just an option, still the curriculum is the the same
 
Jamani tutafute pesa hizi kauli zote ni kujifariji na umaskini....ni kama umlaumu mtu aliyenunua gari ya milion 200 kwakusema si bora angenunua carina tu kwasababu kwa safari ya kwenda mwanza wote tutafika tu? Nakumbuka wakati fulani nilikuwa naishi mtaa fulani sasa kulikuwa na msikiti sasa huyo muadhini ile alfajiri alikuwa na maneno yake hicho kitanda ni mwandanì na chumba hicho ni kaburi mara hayo magari munayojivunia ni majeneza tu....Mungu mkubwa akaenda motipwez akapata kiasi fulani hivi jambo la kushangaza fasta akafungua Ubao wa viazi sokoni
 
Back
Top Bottom