We jamaa uta kuwa na stress Sana, tafuta matokeo ya shule ya dodoma central secondary, uone madudu, shule ya, serikali, wanafunzi wote wana zero!
Harafu nenda St Mary's ulete mafinga, English medium, Div one zote! Sasa, nani aone wivu na one za Ku tafuta na, torch za kayumba!
Kwa, tasrifa yako, wengi wanaosomesha English medium, walisoma kayumba,
Ma shule ya serikali mengi ni madudu tu, ukiona Tabora boys/girls, Ilbolu, Ifunda, kuna one, wala haishangazi, maana huko serikali imeweka nguvu, unaweza kusema hizo ni English medium za serikali!