jaqson
Member
- Jul 21, 2025
- 55
- 45
Lugha huitaji kuanzia nyumbani, vp ulishawahi kumfunza lugha naku ongea naye mara kwa mara na hapa tutizame lugha tu sio taaluma nyingine. Tutoe dhana ya lugha ya kingereza kua ni bora zaidi ya nyingine au kushindwa kwake kuongea kingereza ndio uwezo wake uone ni mdogo. Shule ya kweli huanza nyumbani, mimi nimejua kingereza kuongea na kujifunza vizuri toka kwa kaka zangu ingawa shule ya awali nilisoma English medium. Then nikaamishiwa kayumba, ukitoa lugha kayumba kwa watoto wanaojielewa hesabu tunafanya vizuri.Nina kijana wangu yupo form 4 Kwa Sasa,anasubiri kufanya mtihani wa Taifa.
Anasoma government school.
Siku Moja tunaangalia movie fulani kwenye tv ,,,Kuna jamaa mmoja akasema THAT IS FIRST AND LAST.
Nikamuuliza kijana wangu ""yule jamaa anamaamisha nn?
Ebwana ilikuwa vita vikubwa kwenye kutafsiri maana ya Ile sentence.,,
Mara akaanza kujikuna kidevuni mara anajinyoosha nyoosha mwishoni akasema sijuwi,
Nilihuzunika sna AISEE.
Tangu hapo nikatoa watoto wangu 2 nikawapeleka English Medium school.
Nataka nikwambiye jambo Moja.
Elimu yetu ya shule za serikali Kwa Sasa wameichakachuwa sn.
Tofauti na kipindi Ikile cha miaka ya 90 kurudi chini.
Mtoto akisoma government school basi ujuwe ni kichwa kweli na sio sasa.
Kwa Sasa kusomesha EM ni kujaribu kupata Ile fully cream ya elimu especially kujuwa lugha za kigeni na kuweza kujitambuwa Kwa mapema..
Mwanzoni nilikuwa napingana sn na kupeleka mtoto EM lakini Kwa elimu yetu ya Sasa Em is everything.
Tuwafunze wenetu kuanzia nyumbani mimi wanagu wanajua hadi elimu ya anga astrology basics, mimea tiba, musics, ufundi, kupiga kinanda n.k nataka waweze shinda ulimwengu huu wa ai. Hatuna Tv nyumbani ni pc tu mpaka wafikie 15 yrs.