Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anayesomea udaktari India anatumia gharama ndogo zaidi kuliko yule anayesomea udaktari vyuo binafsi hapa bongo.😂😂😂😂😂
Kuna m1 ni Dr, alisoma De Paul O level, advance alisoma Shamisye PCB, chuo India.
Leo yuko hapo Amana, Na analia kila siku mshahara mdogo.
Huwa nacheka sanaa, Lol 😂😂😂😂
ila tusi chekelee umasikini, sote tuna penda kwenda india, uk, au Seoul ni vile we can't afford it.😂😂😂😂😂
Kuna m1 ni Dr, alisoma De Paul O level, advance alisoma Shamisye PCB, chuo India.
Leo yuko hapo Amana, Na analia kila siku mshahara mdogo.
Huwa nacheka sanaa, Lol 😂😂😂😂
Are you serious?Amesafiri lakini, wewe hujawahi
Kama kusomesha Ems & private ni ghali basi jaribu ujinga!Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4.
Kwanini?
1. Wazazi wanaosomesha shule za EMs na private secondary huwaga wanataka kujitofautisha na wazazi wengine. Hutaka watoto wao wawe kwenye class tofauti na watoto wanaosomeshwa Kayumba. Sasa matokeo yanapotoka wote Wapo level moja wazazi hawa hukasirika Sana. Hawaendi watoto wao wawe level sawa na watoto wa Kayumba.
2. Wazazi wanao somesha Ems na Private schools hutumia hela nyingi na nguvu nyingi kulipa ada shule hizo ili watoto wao wapate ufaulu mkubwa ilihali wazazi wa Kayumba wao hawalipi chochote wanakula bata tu , Sasa matokeo yanapo toka halafu watoto wa Kayumba wakawa na wani kama watoto wao wa private wazazi hawa wa private hukasirika Sana na pengine hujiona wajinga...
Hata hawa wa humu JF wanaomponda LIKUD humponda Kwa sababu Likud huwaambia ukweli mchungu ambao unawafanya wajione wajinga kulipa hela nyingi kwenye shule za EMs na private za mtaala wa Necta, lakini ndani ya nafsi zao wanajua Likud yupo sahihi
Shamsiye O'level ada zina range 5M-7M.Anayesomea udaktari India anatumia gharama ndogo zaidi kuliko yule anayesomea udaktari vyuo binafsi hapa bongo.
Na hizo sekondari ulizozitaja gharama zake sio kubwa, zina range 3M-4M.
Watu hawajui elimu ni nini,elimu siyo cheti,mtoto wa fezza na wa yombo vituka sekondari ni watu wawili tofauti,hata kwenye kujieleza tuHivi ukiwa unaweza kusomesha mtoto Braeburn (ada 10,000usd), utakuwa na muda wa kuwaza div 1 za shule za kata.
Labda nikusaidie, hizi shule zinafundisha watoto zaidi ya kupata Div 1.
Classmates wa mwanao ni kina nani? Group lako la wazazi mko na kina nani?
Kati Benjamin fernandez wa NALA na wewe uliyesoma azania,nani elimu yake ya maana?Kuwekeza 100 millions kisa div 1 huu sio uwekezaji ni scam. Hiyo fedha (20mil) ungewekeza kwenye elimu ya nyumbani ukaanzisha mradi wa kilimo cha green house au ufugaji na akawa sehemu ya mradi angalau italeta maana.
Nawaambia watu haya mambo hawaelewi. Nimeshiriki interview panels nyingi sana, unaona tofauti kubwa. Mtoto ukimsikia unajua hapa akili zimo, ila hajiamini, hawezi kujieleza... but you can see she is very bright ila hakupata fursa za kujengwaWatu hawajui elimu ni nini,elimu siyo cheti,mtoto wa fezza na wa yombo vituka sekondari ni watu wawili tofauti,hata kwenye kujieleza tu
Kweli kabisa IB, ila sasa huyu jamaa alishindwa kubaki huko huko India kufanya kazi yake ya U Dr? Lolila tusi chekelee umasikini, sote tuna penda kwenda india, uk, au Seoul ni vile we can't afford it.
Muendelezo baada ya kusoma ndio una wapiga chenga baadhi.
Niliwahi sikia kwa advance zinafika above 6M kwa wakati ule anasoma yeye huyu.Anayesomea udaktari India anatumia gharama ndogo zaidi kuliko yule anayesomea udaktari vyuo binafsi hapa bongo.
Na hizo sekondari ulizozitaja gharama zake sio kubwa, zina range 3M-4M.
😂😂😂😂😂Hii ni kweli. Mzee mzima nilisomaga FC KAYUMBA form four nikatia too nzuri mtoto wa bamdogo anaesoma huko private akapata zake three. Wote tukaingia advance level. Mi kama dawa nikafaulu f six kwa one chafu. Mtoto wa bandogo akapiga zake 2 .
Chuo sasa boss wenu nikaingia CHUO CHA TAIFA yeye akaingia huko ugogoni.
Mzee wake akajaga pale kihomeboy akawaambia ah sisomeshi tena mtu shule za puraiveti wananifilisi tu. Ila tu wanangu lazima wasome puraiveti ili wainjoy gari za njano na kiingereza.
Muendelezo baada ya kusoma ndio changamoto, huko india kuna vyuo vingi mno na wao wahindi wana saka hela nchi nyingine.Kweli kabisa IB, ila sasa huyu jamaa alishindwa kubaki huko huko India kufanya kazi yake ya U Dr? Lol
Ni kweli uko sahihi kabisaa. 😂😂😂😂Amesafiri lakini, wewe hujawahi
Mmmh unataka kusema yeye hajui kuhusu michongo nje ya nchi? Au ndo vile hana connections?Muendelezo baada ya kusoma ndio changamoto, huko india kuna vyuo vingi mno na wao wahindi wana saka hela nchi nyingine.
Mshauri angalau asake mchongo botswana!