Lugha huitaji kuanzia nyumbani, vp ulishawahi kumfunza lugha naku ongea naye mara kwa mara na hapa tutizame lugha tu sio taaluma nyingine. Tutoe dhana ya lugha ya kingereza kua ni bora zaidi ya nyingine au kushindwa kwake kuongea kingereza ndio uwezo wake uone ni mdogo. Shule ya kweli huanza nyumbani, mimi nimejua kingereza kuongea na kujifunza vizuri toka kwa kaka zangu ingawa shule ya awali nilisoma English medium. Then nikaamishiwa kayumba, ukitoa lugha kayumba kwa watoto wanaojielewa hesabu tunafanya vizuri.Nina kijana wangu yupo form 4 Kwa Sasa,anasubiri kufanya mtihani wa Taifa.
Anasoma government school.
Siku Moja tunaangalia movie fulani kwenye tv ,,,Kuna jamaa mmoja akasema THAT IS FIRST AND LAST.
Nikamuuliza kijana wangu ""yule jamaa anamaamisha nn?
Ebwana ilikuwa vita vikubwa kwenye kutafsiri maana ya Ile sentence.,,
Mara akaanza kujikuna kidevuni mara anajinyoosha nyoosha mwishoni akasema sijuwi,
Nilihuzunika sna AISEE.
Tangu hapo nikatoa watoto wangu 2 nikawapeleka English Medium school.
Nataka nikwambiye jambo Moja.
Elimu yetu ya shule za serikali Kwa Sasa wameichakachuwa sn.
Tofauti na kipindi Ikile cha miaka ya 90 kurudi chini.
Mtoto akisoma government school basi ujuwe ni kichwa kweli na sio sasa.
Kwa Sasa kusomesha EM ni kujaribu kupata Ile fully cream ya elimu especially kujuwa lugha za kigeni na kuweza kujitambuwa Kwa mapema..
Mwanzoni nilikuwa napingana sn na kupeleka mtoto EM lakini Kwa elimu yetu ya Sasa Em is everything.
Mkuu Mimi huwa siongei na watoto wng kingereza,Lugha huitaji kuanzia nyumbani, vp ulishawahi kumfunza lugha naku ongea naye mara kwa mara na hapa tutizame lugha tu sio taaluma nyingine. Tutoe dhana ya lugha ya kingereza kua ni bora zaidi ya nyingine au kushindwa kwake kuongea kingereza ndio uwezo wake uone ni mdogo. Shule ya kweli huanza nyumbani, mimi nimejua kingereza kuongea na kujifunza vizuri toka kwa kaka zangu ingawa shule ya awali nilisoma English medium. Then nikaamishiwa kayumba, ukitoa lugha kayumba kwa watoto wanaojielewa hesabu tunafanya vizuri.
Tuwafunze wenetu kuanzia nyumbani mimi wanagu wanajua hadi elimu ya anga astrology basics, mimea tiba, musics, ufundi, kupiga kinanda n.k nataka waweze shinda ulimwengu huu wa ai. Hatuna Tv nyumbani ni pc tu mpaka wafikie 15 yrs.
Lugha inahitaji mazoezi ndugu. Na kingine ni mipango binafsi unayoweka kwa mwanao, unataka ajifunze lugha ya kingereza nini umemwandalia juu yakutumia hiyo lugha kwa maisha ya baadae mf. Labda unataka abobee kwenye secta ya utalii au sector ya uongoz n.kMkuu Mimi huwa siongei na watoto wng kingereza,
Sku zote natumia kiswahili,lakini hicho sio kigezo cha kwann mtoto yupo form 4 lakini ni mweupe Kwa kingereza.
Sababu kuu ni shule anayosoma kutumia kiswahili zaidi ktk kufundishia kuliko kingereza.
Mwanangu mdogo wa miaka 6 now yupo pre unit lakini tayari anaweza akasikia kingereza kwenye tv anakwambiya jamaa anamaanisha nn.,
Tusijipe moyo lakini elimu ya kayumba ni umasikini tu ila sio elimu yenyewe afya Kwa watoto wetu.
Duuuh ila shule za Dar zinakua na 0 km zotee. Lol
Mimi watoto wanaosomea Dar honestly huwa nawaonea huruma, mazimgira yao ya usafiri ni magumu mnoooo plus ni mji umejaa risk kila kona kwa watoto wa kiume na kike pia.Duuuh ila shule za Dar zinakua na 0 km zotee. Lol
ππππππ
πππππMtu kasoma St Francis, chuo Swiden, halafu nipo nae ofisi Moja na mshahara namzidi. Sasa huko alienda kufanya nini?. Ngoja niendelee kujitafuta mie.
MHhhh...sidhani. kwa bongo hii?????Private school haimuandai mtu kupata one ina muandaa mtu kwenda kuishi smart na kuisaidia Dunia SI bado tuna wazia one kweli?
Return ni kitu cha msingi zaidi. Kama unge save hiyo 4M utumie tu 1m nyingine humnunulie shama kila mwaka heka mbili na humpandie miti ya mbao kwa miaka 10.Mimi sijui hayo kama wqnachukia au vipi LAKINI ukilitizama suala hili KIMAHESABU actually linaleta ukakasi. Maana kama mimi nawekeza about 10M kwa miaka 4 halaf Mzazi mwingine anaweka about 400k kwa miaka 4 halaf woote waje wapate DIVISION 1 hata kama zinatofautiana points, KIMAHESABU HII HASARA
Kwa kweli Dar sio pazuri kwa Elimu, hasa Primary had Advance hasa day schools.Mimi watoto wanaosomea Dar honestly huwa nawaonea huruma, mazimgira yao ya usafiri ni magumu mnoooo plus ni mji umejaa risk kila kona kwa watoto wa kiume na kike pia.
Uko sahihi kabisaaaa.Kwa kweli Dar sio pazuri kwa Elimu, hasa Primary had Advance hasa day schools.
Watoto wako na risk sana, mazingira sio wezeshii. Kuna mtu aliwahi nambia, km mie ningekulia na kusoma Dar, hata O Level nisingemaliza. Sikuamini.
1St time naingia Dar, nilijisemea wallah nisingesoma mie huku, ningeharibika mdogo kabisa, yaan bas tyuuh, Dar hapanaa.
Haswaaaa.Uko sahihi kabisaaaa.
πππππ kwahiyo watoto wote wa EMS wana connection?Division one ya Kayumba kama haina connections ni sawa na takataka tu mkuu wangu..
Kuna watu ni wapumbavu aisee.πππππ kwahiyo watoto wote wa EMS wana connection?
Amesafiri lakini, wewe hujawahiπππππ
Kuna m1 ni Dr, alisoma De Paul O level, advance alisoma Shamisye PCB, chuo India.
Leo yuko hapo Amana, Na analia kila siku mshahara mdogo.
Huwa nacheka sanaa, Lol ππππ
Ficha upumbavu wako.Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4.
Kwanini?
1. Wazazi wanaosomesha shule za EMs na private secondary huwaga wanataka kujitofautisha na wazazi wengine. Hutaka watoto wao wawe kwenye class tofauti na watoto wanaosomeshwa Kayumba. Sasa matokeo yanapotoka wote Wapo level moja wazazi hawa hukasirika Sana. Hawaendi watoto wao wawe level sawa na watoto wa Kayumba.
2. Wazazi wanao somesha Ems na Private schools hutumia hela nyingi na nguvu nyingi kulipa ada shule hizo ili watoto wao wapate ufaulu mkubwa ilihali wazazi wa Kayumba wao hawalipi chochote wanakula bata tu , Sasa matokeo yanapo toka halafu watoto wa Kayumba wakawa na wani kama watoto wao wa private wazazi hawa wa private hukasirika Sana na pengine hujiona wajinga...
Hata hawa wa humu JF wanaomponda LIKUD humponda Kwa sababu Likud huwaambia ukweli mchungu ambao unawafanya wajione wajinga kulipa hela nyingi kwenye shule za EMs na private za mtaala wa Necta, lakini ndani ya nafsi zao wanajua Likud yupo sahihi
Hebu weka ushahidi wa hizi hisia zako za uswahilini.Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4.
Kwanini?
1. Wazazi wanaosomesha shule za EMs na private secondary huwaga wanataka kujitofautisha na wazazi wengine. Hutaka watoto wao wawe kwenye class tofauti na watoto wanaosomeshwa Kayumba. Sasa matokeo yanapotoka wote Wapo level moja wazazi hawa hukasirika Sana. Hawaendi watoto wao wawe level sawa na watoto wa Kayumba.
2. Wazazi wanao somesha Ems na Private schools hutumia hela nyingi na nguvu nyingi kulipa ada shule hizo ili watoto wao wapate ufaulu mkubwa ilihali wazazi wa Kayumba wao hawalipi chochote wanakula bata tu , Sasa matokeo yanapo toka halafu watoto wa Kayumba wakawa na wani kama watoto wao wa private wazazi hawa wa private hukasirika Sana na pengine hujiona wajinga...
Hata hawa wa humu JF wanaomponda LIKUD humponda Kwa sababu Likud huwaambia ukweli mchungu ambao unawafanya wajione wajinga kulipa hela nyingi kwenye shule za EMs na private za mtaala wa Necta, lakini ndani ya nafsi zao wanajua Likud yupo sahihi