Hii ndio sababu kwanini wazazi wanaosomesha Private schools wanachukia Division 1 za Kayumba Schools

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna m1 ni Dr, alisoma De Paul O level, advance alisoma Shamisye PCB, chuo India.

Leo yuko hapo Amana, Na analia kila siku mshahara mdogo.
Huwa nacheka sanaa, Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anayesomea udaktari India anatumia gharama ndogo zaidi kuliko yule anayesomea udaktari vyuo binafsi hapa bongo.

Na hizo sekondari ulizozitaja gharama zake sio kubwa, zina range 3M-4M.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna m1 ni Dr, alisoma De Paul O level, advance alisoma Shamisye PCB, chuo India.

Leo yuko hapo Amana, Na analia kila siku mshahara mdogo.
Huwa nacheka sanaa, Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ila tusi chekelee umasikini, sote tuna penda kwenda india, uk, au Seoul ni vile we can't afford it.

Muendelezo baada ya kusoma ndio una wapiga chenga baadhi.
 
Kwanini mnaumizwa na choices wanazofanya wengine?Mtu kwa Pesa zake kaamua kumsomesha mtoto anakoona panafaa,kwanini wewe uumie?
 
Hivi ukiwa unaweza kusomesha mtoto Braeburn (ada 10,000usd), utakuwa na muda wa kuwaza div 1 za shule za kata.

Labda nikusaidie, hizi shule zinafundisha watoto zaidi ya kupata Div 1.

Classmates wa mwanao ni kina nani? Group lako la wazazi mko na kina nani?
 
Haya mambo bure kabisa, soma hata dunia nzima ila kama hutofuata kanuni za asili mf. Kingdom ya wealth usipo fuata kanuni zake utalialia tu mshahara ukichelewa. Nina uncle yangu yoko lushoto form 2 anafedha kunizidi anafanya kilimo cha karafuu, mdalasini na iliki anavuna mzigo wakutosha na ninamkopaga mzigo hadi kilo 200 na anaitwa tajiri mtoto. Pia nina kaka ambaye ameishia la 7 kuna kipindi alitafuta pesa ya kujiendeleza o level QT akaomba maali pakulala kwa shangazi yetu akatolewa nje. Shangazi anauwezo wakutosha ila akampiga chini, jamaa akatemana na shule nikiwa namaliza form 6 Galanos 2012 nilionananae nilipomtembelea korogwe jamaa alikua anamiliki nyumba kubwa aliipa familia na mbele alishaanza ghorofa moja kujenga na aliniambua amesha mlipa mkandarasi anasubiri imaliziwe tu. Sasa huyu jamaa aliishia la 7 kingereza hajui ila kwenye biashara da amepiga hatua.
 
Kama kusomesha Ems & private ni ghali basi jaribu ujinga!
 
Hii ni kweli. Mzee mzima nilisomaga FC KAYUMBA form four nikatia too nzuri mtoto wa bamdogo anaesoma huko private akapata zake three. Wote tukaingia advance level. Mi kama dawa nikafaulu f six kwa one chafu. Mtoto wa bandogo akapiga zake 2 .
Chuo sasa boss wenu nikaingia CHUO CHA TAIFA yeye akaingia huko ugogoni.
Mzee wake akajaga pale kihomeboy akawaambia ah sisomeshi tena mtu shule za puraiveti wananifilisi tu. Ila tu wanangu lazima wasome puraiveti ili wainjoy gari za njano na kiingereza.
 
Kuwekeza 100 millions kisa div 1 huu sio uwekezaji ni scam. Hiyo fedha (20mil) ungewekeza kwenye elimu ya nyumbani ukaanzisha mradi wa kilimo cha green house au ufugaji na akawa sehemu ya mradi angalau italeta maana.
 
Anayesomea udaktari India anatumia gharama ndogo zaidi kuliko yule anayesomea udaktari vyuo binafsi hapa bongo.

Na hizo sekondari ulizozitaja gharama zake sio kubwa, zina range 3M-4M.
Shamsiye O'level ada zina range 5M-7M.

Advance ni zaidi ya 10M. Naifahamu hiyo shule kuna mtoto wa 'mkuu wa kaya' mstaafu alisoma pale na dogo langu.
 
Watu hawajui elimu ni nini,elimu siyo cheti,mtoto wa fezza na wa yombo vituka sekondari ni watu wawili tofauti,hata kwenye kujieleza tu
 
Kuwekeza 100 millions kisa div 1 huu sio uwekezaji ni scam. Hiyo fedha (20mil) ungewekeza kwenye elimu ya nyumbani ukaanzisha mradi wa kilimo cha green house au ufugaji na akawa sehemu ya mradi angalau italeta maana.
Kati Benjamin fernandez wa NALA na wewe uliyesoma azania,nani elimu yake ya maana?
 
Watu hawajui elimu ni nini,elimu siyo cheti,mtoto wa fezza na wa yombo vituka sekondari ni watu wawili tofauti,hata kwenye kujieleza tu
Nawaambia watu haya mambo hawaelewi. Nimeshiriki interview panels nyingi sana, unaona tofauti kubwa. Mtoto ukimsikia unajua hapa akili zimo, ila hajiamini, hawezi kujieleza... but you can see she is very bright ila hakupata fursa za kujengwa
 
Anayesomea udaktari India anatumia gharama ndogo zaidi kuliko yule anayesomea udaktari vyuo binafsi hapa bongo.

Na hizo sekondari ulizozitaja gharama zake sio kubwa, zina range 3M-4M.
Niliwahi sikia kwa advance zinafika above 6M kwa wakati ule anasoma yeye huyu.

Kwamba India gharama ni ndogo? Fafanua bas.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa IB, ila sasa huyu jamaa alishindwa kubaki huko huko India kufanya kazi yake ya U Dr? Lol
Muendelezo baada ya kusoma ndio changamoto, huko india kuna vyuo vingi mno na wao wahindi wana saka hela nchi nyingine.

Mshauri angalau asake mchongo botswana!
 
Muendelezo baada ya kusoma ndio changamoto, huko india kuna vyuo vingi mno na wao wahindi wana saka hela nchi nyingine.

Mshauri angalau asake mchongo botswana!
Mmmh unataka kusema yeye hajui kuhusu michongo nje ya nchi? Au ndo vile hana connections?

Niliwahi muambiaga kwann usingebaki huko huko, akawa anajiuma uma tyuuh, mmmh.
Abaki hapo hapo Amana ale vijipesa vya Bongo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…