Hii ndio sababu kwanini wazazi wanaosomesha Private schools wanachukia Division 1 za Kayumba Schools

Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4.


.....
Mwenyezi Mungu amegawa akili bila ya kutazama asili ya ukoo. Ndiyo mana unakuta kuna hata watoto wa wafalme lakini hawana akili licha ya kuwa na facilities na upendeleo wa kifedha.

Kwa hivyo mimi naona hiyo ni dhana tu ya kujipa moyo watoto wa kimaskini, nani amewaona hao wazazi wa private schools wakikasirika kwa vile St Kayumba amepata Division i? Vina uhusiano gani na mafedha waliyonayo wao?
 
Mimi wanangu wamesoma kayumba na wamefaulu vizuri,ila ukija kwenye suala la kujitambua, kujiamini nk sithubutu kumkejeli aliyesoma private mpaka najiulizaga mbona huyu wangu wa from four anakosa kujiamini mbele ya huyu wa darasa la 7 private nini shida?
 
Info, connection na utayari huenda ni kamzozo kwake!

Mwambie aji changanye kusaka info, botswana kuna fursa. kwa ma daktari.
japo sio rahisi, ila Pana penyeka.

Halafu usha sema wa kishua, huwezi jua kuna miradi ipi ya home ana kula uki acha ajira.
 
MHhhh...sidhani. kwa bongo hii?????
NDIO MKUU UKIKAA NA MWANAFUNZI WA SERIKALI NA PRIVATE UTAUONA UTOFAUTI MKUBWA SANA JAPO SERIKALI ANA ONE KALI NA PRIVATE ANA THREE LAKIN UNAONA UFIKIRI NI TOFAUTI, MFANO WALIOSOMA SERIKALI WENGI AKILI ZAO NI AJIRA WAAJIRIWE NA SERIKALI WAPATE MSHAHARA, BILA MSHAHARA HANA AMANI ANZIA HAPO MKUU.


fullstop kwishaaa
 
Mimi mbona sina akili hizi na nimesoma serikali maisha yangu yoote??
Na wanangu nasomesha private miaka 10 ya kwanza ila sekondari napeleka government!!..
 
Mimi mbona sina akili hizi na nimesoma serikali maisha yangu yoote??
Na wanangu nasomesha private miaka 10 ya kwanza ila sekondari napeleka government!!..
MTOTO WA DEWJI UMEONA ANAJIANDA KUKABIDHIWA OFISI DOGO WA JAMBO LTD WATOTO WA ROSTAM NI KWELI SHULE ZA SERIKALI NZURI TU ILA CHANGAMOTO HAZIMUAANDAI MTOTO KUWA COMPETIT MARIO NI MSANI MKUBWA NA HARMONIZE, DIAMOND ILA ABIGAIL CHAMS UKIMUWEKA NAO UNAUONA UTOFAUTI KWENYE JAMBO LA UELEWA WA MAMBO AU VANESA MDEE NA SHILOLE UTOFAUTI HAPO VIPI?


fullstop kwishaaaaa
 
Hao waliopata divisheni wani kayumba ndio wakina nani ?..........Kila mtu apambane na hali yake.
 
Hiii mada ingeitwa vita ya walio nacho na wasio nacho sekta ya elimu Tanzania,. 😂
 
Hata huyo Tz one huwa inatusaidia nini? Div & rule. Mwenye tik anaonekana babkubwa na unambiwa kwenye mtihani usimeache mtu akuigie atakufelisha ndio maana hata mtaani ni hivyo hivyo mtu akiwa na channels anabana kwa wengine, bure kabisa!
Nimesoma na washikaji wengi ila average ndio wana maisha yalio-nyooka.

Wakati nasoma A level nilipo hitimu tu nikawa najitadhmini hivi tofauti na kufundisha Tuition ni professional gani naweza fanya regardless muda niliyo spend kusoma sikuwa na clue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…